Arusha: Walevi tuwe makini, Konyagi feki zitatumaliza

Hata bia nina wasiwasi, mf. Serengeti kubwa wakati mwingine inakuwa ya ajabu na haina povu la kutosha. Usikute kuna kakiwanda ka pembeni!
 
Mkuu, mimi siyo Mashahidi na imani yao sijaijua vizuri. Ingawa najua haamini kuongezeana damu.

Hili la nyumba ni jipya.
Wenzako wanapita mtaani kuchagua nyumba nzuri, wanaamini kwamba baada wa mwisho wa dunia wao watabaki kuirithi ulimwengu hvyo wanachagua mapema sehemu za kuishi
 
Wakishachagua wanapanga kwenye hiyo nyumba amma?
 
Hata bia nina wasiwasi, mf. Serengeti kubwa wakati mwingine inakuwa ya ajabu na haina povu la kutosha. Usikute kuna kakiwanda ka pembeni!
Ni kweli kabisa, bia siku hizi nazo hazieleweki sio serengeti tu, ile taste halisi ya bia imepotea
 
Ndio maana nilikunywa yale makubwa sita lakini sikukewa hata kidogo...!!
 
Back
Top Bottom