Arusha: Walimu wote wa Serikali watakiwa kujitokeza uwanjani kesho Sheikh Amri Abeid kumpokea na kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

Chama hakina mvuto wala ushawishi.Mnalazimisha watumishi wakawasikilize kwa nguvu?Chama takataka kabisa!😂😂😂😂
 
Barua ya Wito iko wapi!??
 
Hii kada inadharauliwa sana,japo nasikitika kusema hivyo,
ni kwa nini wasiwe watumishi wote wa umma badala yake wawe waalimu peke yao?
Hapo CWT walitakiwa wajiongeze mfanye maamuzi ya pamoja,hakuna mtu mwenye uthubuti wa kuwafukuza kazi kwa mara moja,waalimu wote kuanzia chekechea hadi ngazi ya A level.
 
Hatujakataa ila ni kweli kwamba serikali inafanya mema kwa waalimu pekee Arusha au kwa watanzania wote?
Hapa ilitakiwa wito uende kwa wakazi wote wa Arusha au kwa watumishi wote wa serikali mkoani Arusha.
Ndugu zangu tusijidanganye eti kwa kuwa sisi sio waalimu,hatujui kesho ya watoto wetu,
tukiijengea dharau tasnia hii,tujue kesho ni zamu ya watoto wetu.Hivyo tufanye mambo yote kwa busara.
 
Hivi walim ndo huwa daraja la kupandia wanasiasa , nyie walim jitafakari nyie watu muhim why wanasiasa wanapenda wadhalilisha hivi
 
Unafanya kazi kwa mjibu wa serikali iliyo madarakani au kwa mjibu wa sheria na kanuni kwa matakwa ya kazi yako, huna akili pumbavu
 

To be honest, kwa Tanzanian, ualimu sio kazi

ni umaskini tu unatufanya tuung'ang'anie, hasa shule za serikali

Walimu hawana misimamo, Hadi mtendaji wa Kijiji (form four failure anawatingisha)

Hii hapana,
 
Check hili jinga
 
Oneni hili shuzi, kwahiyo ni walimu tu mbona hatusikii madaktar na wanajeshi halafu ni utaratibu upi huo kwamba mikutano ya kisiasa ni lazima mwalimu aende
 
Matope
 
Ni hakika ulikua umebanwa mavi wakat unqtema huu uharo
 
Dah
 
Elimu yako tafadhari !
Huu ujinga utaisha hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…