Arusha wamshukuru Rais Magufuli kwa kuubadilisha uongozi mzima wa mkoa, waahidi kumstaafisha Lema Oktoba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya.

Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo.

Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa Takukuru, DC ni wapya na wao wataikamilisha safu hiyo Oktoba kwa kumstaafisha mbunge Lema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Habari hii ni kweli? Natamni na naomba iwe fake news. Kama hayo uliyoandika yatakua ni ya kweli na ndio majukumu ya hao tunaodhania na kuambiwa siku zote kua ni "WATUMISHI WA UMMA" ,,basi kama nchi tutakua tumekosea sana mahali na sasa tumekwama, tena kukwama kuliko kukubwa kabisa
 
Huyo mkuu wa mkoa atulie afanye kazi kwa kusimamia hali siyo kuleta siasa chafu za ccm Arusha.Kwanza ajue haya
1.Arusha ni ngome ya upinzani kwahiyo afanye kazi kistaarabu akitaka kudumu.
2.Asilete uboss arusha ashirikiane na wananchi wote

Mbali na hapo hamalizi hata miaka miwili,Gambo sasa hivi kachanganyikiwa soon ataanza kuchoma mahindi sanawari
 
hawa ni wazee feki wa Arusha, mbona kabla hatujawahi kuwasikia wakilalamika kuhusu uongozi mbovu wa hawa jamaa watatu!! Yaani mtu unakuwa mkuu wa mkoa kwa kazi moja tu ya kumdhibiti Lema!! haya endelea kumdhibiti tuone.
 
Una hakika hao waliosema ni wananchi wa Arusha Mjini au wanachama wa CCM?!
 
Gambo anaweza anaweza geuzwa geuzwa Kama chapati hata kuwekwa ndani 24hrs.Sijui anaishije usikute anapiga mizinga ya wese angalau aendeshee gari kabla ya kupaki kwa kukosa hela ya service.Kabaki pekee yake hata akienda kwa muhindi hawezi piga mizinga tena wale watu wanatupa vibaya Kama hawana faida nawe.
 
Huyo mkuu wa mkoa atulie afanye kazi kwa kusimamia hali siyo kuleta siasa chafu za ccm Arusha.Kwanza ajue haya
1.Arusha ni ngome ya upinzani kwahiyo afanye kazi kistaarabu akitaka kudumu.
2.Asilete uboss arusha ashirikiane na wananchi wote

Mbali na hapo hamalizi hata miaka miwili,Gambo sasa hivi kachanganyikiwa soon ataanza kuchoma mahindi sanawari
Msimtenge watz huwa yakipita yamepita hatuna kinyongo.
Alizoea kuendeshwa sijui kuendesha anaweza maana hela ya kulipa dereva Hana tena.
 
Gambo anaweza anaweza geuzwa geuzwa Kama chapati hata kuwekwa ndani 24hrs.Sijui anaishije usikute anapiga mizinga ya wese angalau aendeshee gari kabla ya kupaki kwa kukosa hela ya service.Kabaki pekee yake hata akienda kwa muhindi hawezi piga mizinga tena wale watu wanatupa vibaya Kama hawana faida nawe.
Baniani wanathamini cheo siyo mtu!
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya.

Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo.

Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa Takukuru, DC ni wapya na wao wataikamilisha safu hiyo Oktoba kwa kumstaafisha mbunge Lema.

Maendeleo hayana vyama!
Duh...!.
Sijui hao walioahidi kumstaafisha Lema kama ni wale machalii wa Arusha au ni wana CCM?.
P
 
Nimewahi kua mahala tofauti tofauti kati kati ya mji wa Arusha baada ya kazi naingia mitaani,kwa masikio yangu watu wengi wenye ufahamu lakini wamekua wakimshutumu mbunge wao kua hana lolote analofanya zaidi ya kutafuta sifa za kijinga ilihali walimsaidia kufika alipo,walikua wakipinga maandamano yake ya kila mala kwa wakati ule na kuonyesha alikua ni mihuni tu asiye na maana,walijilaumu kwa kumchagua
 
Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya.

Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo.

Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa Takukuru, DC ni wapya na wao wataikamilisha safu hiyo Oktoba kwa kumstaafisha mbunge Lema.

Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ndio JD ?? Upuuzi mtupu hao sio waoiga kura jiwe lutapita Tanzania mama itasimama daima...
 
Back
Top Bottom