johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msimtenge watz huwa yakipita yamepita hatuna kinyongo.Huyo mkuu wa mkoa atulie afanye kazi kwa kusimamia hali siyo kuleta siasa chafu za ccm Arusha.Kwanza ajue haya
1.Arusha ni ngome ya upinzani kwahiyo afanye kazi kistaarabu akitaka kudumu.
2.Asilete uboss arusha ashirikiane na wananchi wote
Mbali na hapo hamalizi hata miaka miwili,Gambo sasa hivi kachanganyikiwa soon ataanza kuchoma mahindi sanawari
Baniani wanathamini cheo siyo mtu!Gambo anaweza anaweza geuzwa geuzwa Kama chapati hata kuwekwa ndani 24hrs.Sijui anaishije usikute anapiga mizinga ya wese angalau aendeshee gari kabla ya kupaki kwa kukosa hela ya service.Kabaki pekee yake hata akienda kwa muhindi hawezi piga mizinga tena wale watu wanatupa vibaya Kama hawana faida nawe.
Duh...!.Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya.
Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo.
Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa Takukuru, DC ni wapya na wao wataikamilisha safu hiyo Oktoba kwa kumstaafisha mbunge Lema.
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo ndio JD ?? Upuuzi mtupu hao sio waoiga kura jiwe lutapita Tanzania mama itasimama daima...Mkuu wa mkoa wa Arusha ameanza kazi rasmi na kuwaomba wana Arusha kumpa ushirikiano ili kwa pamoja waijenge Arusha mpya.
Wananchi wa Arusha wameahidi kumpa ushirikiano na pia wamemshukuru Rais Magufuli kwa mabadiliko hayo.
Wamesema wana Arusha kwa sasa uongozi wote kuanzia RC, RPC, Kamanda wa Takukuru, DC ni wapya na wao wataikamilisha safu hiyo Oktoba kwa kumstaafisha mbunge Lema.
Maendeleo hayana vyama!
Watakuwa mapimbi wa CCMUna hakika hao waliosema ni wananchi wa Arusha Mjini au wanachama wa CCM?!