Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.
My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.
only83
Ulitaka maombi yao yapitie kwa Lema? Wameonyesha utovu wa nidhamu watahukumiwa kwa kosa lao; Lema kawaingiza mkenge na awasaidie warudi chuoni. Wakuu wa wilaya ni sehemu ya serikali; wanasoma kwa kodi zetu ni jukumu la serikali kuhakikisha pesa zetu hazipotei; kama wanataka siasa waingie kwenye siasa
Chama
Gongo la mboto DSM
wangewarudisha mwakani.hawana adabu wazurura usiku ,wakiuwawa mtaani,wanaleta siasa .
Kama wanalipiwa na baba zao is waende vyuo vingine kuna haja gani ya kulalamika? Wengi wao wanasoma kwa ufadhili wa serikali hilo halina haja ya kupoteza muda wa kulifanyia utafiti.Hapo kweye Red, una hakika na unchokisema? Ni asilimia ngapi ya wanafunzi wanasomeshwa kwa kodi za serikali? No research no right to speak
Kama kusema ukweli ni kosa mimi nalikubalisio kosa lako, ni mazingira uliyokulia ndiyo yanakulazimu kuyatetea
Kama wanalipiwa na baba zao is waende vyuo vingine kuna haja gani ya kulalamika? Wengi wao wanasoma kwa ufadhili wa serikali hilo halina haja ya kupoteza muda wa kulifanyia utafiti.
Chama
Gongo la mboto DSm
Wewe ni mshabiki tuu ila kiukweli ni usumbufu usio na maana yoyote, ila kwa sababu halijakugusa we unaona ni sawa kimsingi hakukuwa na haja ya kufunga chuo.only83