Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

Arusha: Wanafunzi Chuo cha Uhasibu kurudi chuoni kwa huruma za Wakuu wa Wilaya...

My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.

Kwani si kuandika
CC tu na kupeleka COPY?
Mimi nadhani wafanye tu hivyo!
Hila tegemea kamati ya ulinzi na usalama kukaa na kujadili hayo majina na baadae Usalama wataifa ku pita majumbani kwao kuwasumbua wazaziw ao hasa wale watatao onekana ni wanaharakati.
 
My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.

.
Tuliuondoa ukoloni mweupe tukajivika ukoloni mweusi. SHAME ON US MACCM.
.
 
mmh,, akili yako nzuri kweli wewe?? yafaa ukapimwe maana siamini kama ni maneno ya mtz
 
Serikali inapaswa iwaonee huruma kwan itasabisha huyo mkuu wa (w)aanze kupokea rushwa kwa mwanafunzi ili omb lake likubaliwe
 
Hayo masharti yametolewa na Magesa Mulongo?
Yamezingatia mazingira ya haki na usawa kwa wanafunzi?
Ushauri kitaalamu umezingatiwa kutoa masharti haya?
Sababu za barua kupitia kwa wakuu wa wilaya ni nini?
 
wangewarudisha mwakani.hawana adabu wazurura usiku ,wakiuwawa mtaani,wanaleta siasa .
 
only83
Ulitaka maombi yao yapitie kwa Lema? Wameonyesha utovu wa nidhamu watahukumiwa kwa kosa lao; Lema kawaingiza mkenge na awasaidie warudi chuoni. Wakuu wa wilaya ni sehemu ya serikali; wanasoma kwa kodi zetu ni jukumu la serikali kuhakikisha pesa zetu hazipotei; kama wanataka siasa waingie kwenye siasa
Chama
Gongo la mboto DSM

sio kosa lako, ni mazingira uliyokulia ndiyo yanakulazimu kuyatetea
 
Last edited by a moderator:
wangewarudisha mwakani.hawana adabu wazurura usiku ,wakiuwawa mtaani,wanaleta siasa .

Nakuombea kwa Mungu yakukute afu tuseme ulikuwa baa, wakuchome bisibisi tu ila wasikuue. Ndipo utajua kwamba mhalifu haji kwa mtu fulani tu
 
Hii noma application za vyuo kwa mkuu wa wilaya kisa n wa chama fulanfulan au ye n nan ktk tasnia ya elimu??
 
Mwana kuwa na huruma hiv wewe kwa akil yako kupita kwa mkuu wa wilaya ndo kutaonesha haukuwa utovu wa nidhamu huo usumbufu tu usio na tija yyte na mnaona mabaya ya Lema tu ila ya wanafunz kufa hulioni angekuwa alochomwa kisu mdogo wako nahic nw ungekuwa mstari wa mbele kuwatetea wanafunz don't be so selfish hivyo
 
So amaizing ndugu! Why oppressed in our own country? I think there's a need for change. Haiingii akilini kupitisha barua za maombi kwa wakuu wa wilaya bora wangesema zipite kwa wenyevit wa vijiji becoz huwa wanachaguliwa na wananchi wao. Au wanataka kusema kaz za wakuu wa wilaya ndo izo? Labda! Becoz majukumu yao ni undescribed yanategemea matukio huku wakiendelea kula mema ya nchi. Shame! Shame! Upon you ccm
 
HUYU anayejiita CHAMA kanishangaza kweli-kweli!!! pengine hajui mambo mengi yanayoendelea kwenye serikali ya sisiemu
 
Hapo kweye Red, una hakika na unchokisema? Ni asilimia ngapi ya wanafunzi wanasomeshwa kwa kodi za serikali? No research no right to speak
Kama wanalipiwa na baba zao is waende vyuo vingine kuna haja gani ya kulalamika? Wengi wao wanasoma kwa ufadhili wa serikali hilo halina haja ya kupoteza muda wa kulifanyia utafiti.
Chama
Gongo la mboto DSm
 
Nimekwambia no research no right to speak,Kwa nature ya chuo cha uhasibu Arusha wanafunzi wengi watakuwa wanajilipia because masomo mengi yanayofundishwa pale sio ya Sayansi n sera ya serikali yenu kuhusu mikopo inawabana wanafunzi wasio soma masomo ya sayansi
 
only83
Ulitaka maombi yao yapitie kwa Lema? Wameonyesha utovu wa nidhamu watahukumiwa kwa kosa lao; Lema kawaingiza mkenge na awasaidie warudi chuoni. Wakuu wa wilaya ni sehemu ya serikali; wanasoma kwa kodi zetu ni jukumu la serikali kuhakikisha pesa zetu hazipotei; kama wanataka siasa waingie kwenye siasa
Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe ni mshabiki tuu ila kiukweli ni usumbufu usio na maana yoyote, ila kwa sababu halijakugusa we unaona ni sawa kimsingi hakukuwa na haja ya kufunga chuo.
 
Back
Top Bottom