Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
My take:
Hivi wakuu wa wilaya wanahusiano gani na vyuo vya elimu na wanafunzi wa elimu ya juu? Kama sio njama ya kuwasumbua na kuwaletea shida wanafunzi.
Kwani si kuandika
CC tu na kupeleka COPY?
Mimi nadhani wafanye tu hivyo!
Hila tegemea kamati ya ulinzi na usalama kukaa na kujadili hayo majina na baadae Usalama wataifa ku pita majumbani kwao kuwasumbua wazaziw ao hasa wale watatao onekana ni wanaharakati.