Toedsloth_
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 369
- 1,085
Kuna nyumba ilikuepo hpo Dodoma miaka iyo ya nyuma kdgo ilikua inasilibwa kinyesi cha binadamu kwenye paa ucku kucha ikifika asbhi kinyesi kinakua kimetapakaa juu ya paa hadi ukutani, lkn mchana ni Amani kbsa ucku ndyo kimbembe kinaanza! Ilibidi waitelekeze