Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa
IMG-20220821-WA0039.jpg
IMG-20220822-WA0002.jpg

Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye mahakama za mwanzo za Maji ya chai, king'ori, na nyinginezo

Wananchi hao wamesema kesi nyingi huishia nyumbani, na wengine kudhulumiwa haki zao, kutokana na wengi kutoweza kumudu gharama za usafiri wa kwenda na kurudi haswa za pikipiki kutokana na kwamba barabara za huko kuwa mbovu pamoja na Kukosekana kwa usafiri wa Umma.

IMG-20220821-WA0039.jpg
IMG-20220822-WA0002.jpg
IMG-20220821-WA0037.jpg
 
Mimi saa hizi ninakula makorongo ya ngombe nyie Arusha mnatekeleza mahakama!

Telekeza.
 
Kwanini mahakama hyo imetelekezwa

Ova
 
Back
Top Bottom