KERO Arusha: Wanawake takriban 200 waandamana na ndoo mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakidai "Hatuna maji miaka 10"

KERO Arusha: Wanawake takriban 200 waandamana na ndoo mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakidai "Hatuna maji miaka 10"

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

 
Wala sitashangaa kukuta hii ni staged drama. Mwamba kaandaa maandamano ya kina mama kisha ahutubie kutatua mgogoro kwanza kwa kumgombeza meneja wa dawasco ya arusha kisha kupiga simu kwa mama na waziri uweso kuwaweka kwenye loud speaker wakiwa hewani washirikiane kutatua tatizo la maji arusha
 
Tangu lini Lema katoka kwenye ubunge hapo? Mwaka wa ngapi huu?
Zingatia maelezo yangu kwa umakini na umuhimu mkubwa sana.

Lema alisitisha utarabu na miradi yote ya maendeleo Arusha na alikataa bajeti zote za maendeleo Arusha. Wangepataje maji maskini ya Mungu 🐒
 
Back
Top Bottom