KERO Arusha: Wanawake takriban 200 waandamana na ndoo mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakidai "Hatuna maji miaka 10"

KERO Arusha: Wanawake takriban 200 waandamana na ndoo mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakidai "Hatuna maji miaka 10"

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Haya sasa nearly ten years mbunge ccm na sasa hv mmepata anayweza wavusha bado ngoma ngumu
Nadhani ingefaa waandamane Arusha yote kama hilo ni tatizo la Arusha..

huo ni miongni tu mwa mitaa midogo ambayo hata hivyo huenda maji yapo ispokua wao wenyewe wanahujumu miundombinu ya maji..

Hata hivyo, kwa RC makonda limeisha hilo 🐒
 
Hawa wamama ni wajanja saana CCM huwa wanafanya kitu kwa masirahi ya siasa sio TAIFA.. kwenye kampeini ni muda muafaka wa kudai haki uliyonyimwa kwa miaka 5 baada ya uchaguzi unasubiri 2030.
 
Back
Top Bottom