Hii itakuwa ni movie imeandaliwa na Makonda apate Kiki.Mbona polisi hawajapiga mabomu?
Kale kamama ketu kalikuwa busy mnoo kumwaga askari mitaani ili kupambana na CHADEMA, naona katika hili ile intelijensia ya ovyo ya polisi haikujua kuwa itatokea.
Huu utawala huu....kila siku misuko suko.
Umeona mbaliπππHii itakuwa ni movie imeandaliwa na Makonda apate Kiki.
wamefanya vizuri sana na ni Imani yangu, katika muda usiokua mrefu watapata maji ya kutosha na ya uhakika Lema aliwatesa sana π
Umewaza ukweli kabisaHii itakuwa ni movie imeandaliwa na Makonda apate Kiki.
Tangu lini Lema katoka kwenye ubunge hapo? Mwaka wa ngapi huu?wamefanya vizuri sana na ni Imani yangu, katika muda usiokua mrefu watapata maji ya kutosha na ya uhakika Lema aliwatesa sana π
π―Hii itakuwa ni movie imeandaliwa na Makonda apate Kiki.
Zingatia maelezo yangu kwa umakini na umuhimu mkubwa sana.Tangu lini Lema katoka kwenye ubunge hapo? Mwaka wa ngapi huu?
Maandamano ya mahawa ya kumpa kiki na ya kinyonge ya wajingaHaya ndio maandamano ninayoyapenda ya kudai maendeleo sio siasa za kina Boni mvunjiwa yai
USSR