KERO Arusha: Wanawake takriban 200 waandamana na ndoo mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakidai "Hatuna maji miaka 10"

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Zingatia maelezo yangu kwa umakini na umuhimu mkubwa sana.

Lema alisitisha utarabu na miradi yote ya maendeleo Arusha na alikataa bajeti zote za maendeleo Arusha. Wangepataje maji maskini ya Mungu πŸ’
Lema katoka lini ubunge Arusha?

Kwanini hadi leo bado hakuna maji? Ni bado Lema anazuia?
 
Bongo kuna kazi ..
 
Lema katoka lini ubunge Arusha?

Kwanini hadi leo bado hakuna maji? Ni bado Lema anazuia?
Hakuwahi kufanya chochote Arusha zaidi ya kubomoa hata vitu vidogo vilivyokuako kabla yake...

hakuruhusu chochote cha maendeleo kufanyika Arusha. Aliapa kupambana na kulumbana na serikali na kupinga kila kilichopamgwa kwa ajili ya Arusha..

Alikua akitamani watu was Arusha waokoke ili waondokane na tabu walizikua wakipitia, huku akisingizia serikali na CCM

so msingi wa wanachopitia watu wa Arusha ni lema πŸ’
 
Maandamano ya Mchongo ya RC
 
Bora wao hawajapata maji miaka kumi sisi wa ubungo dar kata ya msakuzi hatujapata maji miaka 63 ya uhuru na Samia na awesu Kila siku wanapita na V8 zao
 
Haya sasa nearly ten years mbunge ccm na sasa hv mmepata anayweza wavusha bado ngoma ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…