PreGE2025 Arusha watoa tamko kuwakataa na kuwapinga G55. Wamshangaa John Mrema na elimu yake ya chuo kikuu

PreGE2025 Arusha watoa tamko kuwakataa na kuwapinga G55. Wamshangaa John Mrema na elimu yake ya chuo kikuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
John Mrema na genge lako na huyo aliye nyuma yenu jitafakarini, mjue kabisa kazi mnayoifanya ni kazi ya CCM chama ambacho kwa kushirikiana na dola kimeteka, kimetesa, kipepoteza na kuua kikatili makada wengi sana wa Chadema, damu ya wote waliouwawa na kuteswa na CCM na vyombo vya dola itakuwa juu ya vichwa vyenu na vizazi vyenu hii ni laana mnajitafutia.
 
😂...
Mwanaume mmoja mlevi ana akili kuliko mwanamke mmoja mwenye PhD ya Heshima.
 
Back
Top Bottom