John Mrema na genge lako na huyo aliye nyuma yenu jitafakarini, mjue kabisa kazi mnayoifanya ni kazi ya CCM chama ambacho kwa kushirikiana na dola kimeteka, kimetesa, kipepoteza na kuua kikatili makada wengi sana wa Chadema, damu ya wote waliouwawa na kuteswa na CCM na vyombo vya dola itakuwa juu ya vichwa vyenu na vizazi vyenu hii ni laana mnajitafutia.