Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

TRA walizitapika zile milioni 500 kwenye akaunti. Masomo yanaendelea.
Afadhali. Tupinge sana unyang'anyi wa TRA. Kama kuna kesi na hao jamaa, waende mahakamani, sio kufunga akaunti. Huu ni ukiukwaji wa utawala wa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…