Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Kuna Shida mahali na inawezakana ikawa sababu ni ile ya kugoma kupeleka Wanafunzi na Wafanyakazi wote wa St. Jude pamoja na kutoa magari yao kwenye kampeni za Uraisi za kile Chama.

Nakumbuka miaka hiyo ya 2006 walikuwa wana mitihani kila wiki ambapo mtoto wako akifikisha wastani unaotakiwa na baada ya kuthibitisha kweli wewe ni masikini wanamfadhili mtoto wako 100% kwa kila kitu kuanzia Malazi, Usafiri, Chakula, Masomo nk. pamaoja na vizawadi kutoka huko Australia.

Nakumbuka, ilikuwa ukipata nafasi basi wakaguzi wanakufwata had nyumbani.... Wakikuta una TV, Kabati au Kochi basi ufadhili umekosa.

Wakulaumiwa hapa ukiicha Serkali basi wengne ni Wazazi, maana kipndi hicho Mtoto kutoka kwenye familia inayojiweza akifaulu mtihani basi Wazazi wake wanaenda kukodi nyumba ya wenye vpato vya chini ili kupita ukaguzi.
 
Dada Gemma hii shule ihamishie Kajiado Kenya acha na wapumbavu wa Tz

Vuka boda tu dada uhamishe kila kitu na majengo bomoa kabisa
 
Anyway, ndo serikali ya wanyonge tu ndo inaweza kukomba fedha kwenye akaunti ya shule ili watoto wa "wanyonge" wanaofadhiliwa washindwe kuendelea na masomo.
 
Tatizo la wanajf mnapenda kuchangia uzi bila kujua chochote
Wewe unayejua details ungeelezea na umejuaje kuwa mimi sifahamu maana hyo issue ilipamba Moto na kuna wazazi Wana watoto pale nawajua
 
Wewe unayejua details ungeelezea, na umejuaje kuwa Mimi sifahamu maana hyo issue ilipamba Moto na kuna wazazi Wana watoto pale nawajua
Hiyo shule haiwezi kusajiliwa kama charitable Organisation sababu haina sifa za kuwa charitable. Hivi shishi food ya Shilole inauza chakula kwa rate za market value, halafu atokee Mo Dewji aseme naomba uwe unawalisha kituo cha watoto maskini na wasiojiweza halafu Mo dewji anakulipa kwa rate ileile unayowachaji watu wengine, utasema shishi food inafanya charity?
 
I see. Kukwepa kodi ni kosa la jinai. Imekuwaje badala ya wahusika kufikishwa mahakamani TRA ikaushe akaunti ya Shule? Kuna tatizo mahali
Nami swali langu ni hilo hilo. Mkataba wa kufungua akaunti ni kati ya benki na mteja, any third party haruhusiwi ku tamper na akaunti mpaka kwa ruhusa ya mahakama. Labda kama kuna mambo siyajui vema.
 
Wewe unayejua details ungeelezea, na umejuaje kuwa Mimi sifahamu maana hyo issue ilipamba Moto na kuna wazazi Wana watoto pale nawajua
Ndio uelewa huo, mfano hiyo shule kuna wafadhili walijitokeza kuamua kugharamia ada za watoto wanaotoka familia maskini na wanaliwalipia bila punguzo la ada. Ni kama UDSM kuna watu wanalipa ada kama private na kuna wanafunzi wanalipiwa ada kwa ufadhili na bodi ya mikopo, je sababu udsm more than 80% ya watoto wa maskini wanagharamiwa ada za third party ndio tuseme udsm inafanya charity?
 
Halafu hiyo shule imekutwa na hatia 2012 enzi za JK, limeibuka now sababu miaka sababu walikuwa wanakata rufaa kila mwaka walianzia Tribunals za TRA mpaka wakafika court of appeal na ni hukumu ya court of appeal iliyowapa mamlaka TRA kufunga account
zao.
Screenshot_20201204-121834_Word.jpg
 
Ndio uelewa huo mfano.hiyo shule kuna wafadhili walijitokeza kuamua kugharamia ada za watoto wanaotoka familia maskini.na wanaliwalipia bila punguzo la ada.ni kama udsm kuna watu wanalipa ada kama private na kuna wanafunzi wanalipiwa ada kwa ufqdhili na bodi ya mikopo, je sababu udsm more than 80% ya watoto wa maskini wanagharamiwa ada za third party ndio tuseme udsm inafanya charity?
Hapo mwanzo hakukuwa na hyo kitu imetokea tu juzi kipindi Cha kampeni, hyo ya udsm ni another different case kabisa, tena siku tu waliyogoma haikupita hata siku mbili wakalimwa barua, hafu wewe unakuwa ka mgeni wa nchi hii na TRA
 
Hapo mwanzo hakukuwa na hyo kitu imetokea tu juzi kipindi Cha kampeni, hyo ya udsm ni another different case kabisa, tena siku tu waliyogoma haikupita hata siku mbili wakalimwa barua, hafu wewe unakuwa ka mgeni wa nchi hii na TRA
Wengine tunashindwa kuchangia mada za humu sababu wachangiaji wanachangia kwa mihemuko ya kisiasa.
Mimi ni mtaalamu wa kodi. Ngoja nikupe darasa kidogo kama utaweza kunivumilia kuandika kidogokidogo.
Charitable
 
Hiyo shule haiwezi kusajiriwa kama charitable Organisation sababu haina sifa za kuwa charitable.
Hivi shishi food ya shilole inauza chakula kwa rate za market value, halafu atokee Mo Dewji aseme naomba uwe unawalisha kituo cha watoto maskini na wasio jiweza halafu Mo dewji anakulipa kwa rate ileile unayowachaji watu wengine.utasema shishi food inafanya charity?
Hiyo shule ya long time kuikomoa na kodi ni kutesa watu wanaofaidika nayo
 
Wewe ni mwanasiasa na sina kipaji cha kuwaelewesha wanasiasa. Endeleeni na uzi wenu
Mwanasiasa gani wakati sijawahi kugombea hata mjumbe wa nyumba kumi, penye ukweli pasemwe tu hyo ya kuwa TRA au kutokuwrpo haimaanishi uonevu na kukomoana nchi hii haipo. Hata uhujumu uchumi Kuna walioonewa vile vile na kunao watu ambayo ni haki yao kuguswa na hyo Sheria.
 
Back
Top Bottom