Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 459
- 1,117
Kuna Shida mahali na inawezakana ikawa sababu ni ile ya kugoma kupeleka Wanafunzi na Wafanyakazi wote wa St. Jude pamoja na kutoa magari yao kwenye kampeni za Uraisi za kile Chama.
Nakumbuka miaka hiyo ya 2006 walikuwa wana mitihani kila wiki ambapo mtoto wako akifikisha wastani unaotakiwa na baada ya kuthibitisha kweli wewe ni masikini wanamfadhili mtoto wako 100% kwa kila kitu kuanzia Malazi, Usafiri, Chakula, Masomo nk. pamaoja na vizawadi kutoka huko Australia.
Nakumbuka, ilikuwa ukipata nafasi basi wakaguzi wanakufwata had nyumbani.... Wakikuta una TV, Kabati au Kochi basi ufadhili umekosa.
Wakulaumiwa hapa ukiicha Serkali basi wengne ni Wazazi, maana kipndi hicho Mtoto kutoka kwenye familia inayojiweza akifaulu mtihani basi Wazazi wake wanaenda kukodi nyumba ya wenye vpato vya chini ili kupita ukaguzi.