KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Mimi nauzunika hasa pale napo pokwa kilichochangu hawa ARUSHA WING Ninani aliwapa adhi ya kuifanya ARUSHA WING kuwa JF HQ??
Je nivigezo gani vilivyotumika kuifanya Arusha Wing kuwwa JF HQ
Dar wing tunavitu vingi vya kuifanya Dar wing iwe JF HQ
JE saccos
JE farm
Na baadhi ya vitu vingi sitavitaja!
Je nivigezo gani vilivyotumika kuifanya Arusha Wing kuwwa JF HQ
Dar wing tunavitu vingi vya kuifanya Dar wing iwe JF HQ
JE saccos
JE farm
Na baadhi ya vitu vingi sitavitaja!