Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Kwa bwan country wide huwa nakuelewa San kwenye mamb fln kiukweli hi kauli ya lema haikubalik kwa namna yoyote ile kudharu na kutweza Kaz na utu wa mtu leo hi lema akiambia ataje watoto au wamam alowasadia yey Hadi kufika vyiuo vikuu hakuna hata mmoja leo hi anakuja kuadharau watu arusha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Lema has zero knowledge about economy, bodaboda ni moja ya shughuli za kiuchumi sio Tanzania Bali nchi nyingi Africa, Asia , Europe/ USA.

Cha msingi ni serikali kutoa elimu Bora Kwa madereva na abiria jinsi ya kutumia chombo hicho Kwa njia iliyo salama na sahihi.
 
Jana nimemsikiliza Godbless Lema akisema Rais Samia 'ana nidhamu ya demokrasia'. Ni maneno yanayofanana na kile ambacho Mbowe amekuwa akikisema mara zote, ndicho ambacho Lissu anakisema.

Rais Samia Suluhu ni mwanadamu, ana makosa mengi tu.

Lakini hakuna jambo zuri sana kwa nchi kama kuwa na Rais mwenye utu, msikivu na mnyenyekevu. Hivi vyote tunavipata kwa Rais Samia Suluhu.

Nchi iko salama, tumeungana kama Taifa na mambo yote yanaenda kwa uzuri sana.

Tuujenge uchumi wetu, tusaidiane na Rais Samia.
 
Awamu ya 5 ingemfunga au kummaliza chezeaa yule Mzee alikuwa muuaji
 
Lema maisha yake yote amekuwa akitafuta sympathy politics. Kabla ya kukosa ubunge alikaa nchini kipindi chote. Baada ya kukosa ndio akaanza siasa za kutaka kuuawa. Tena baada ya uchaguzi.

Sasa tujiulize
1. Je angeshinda ubunge angetengeneza hii tamthiliya anayoicheza kwa misukule wa ufipa?
2. Kama alihisi vitisho kwa nini alisubiri mpaka matokeo ya ubunge yatangazwe ndio akimbie je tuamini kile kilichosemwa na Zitto?
3. Mbona hakutoa taarifa za kutishiwa kipindi chote cha kampeni zaidi ya kuishia kubishana na Gambo kila siku?
4. Yeye alikuwa mbunge toka 2015 Magu alipoingia, je iweje vitisho vianze baada ya kukosa ubunge?

Ukitafakari haya utaona ni kwa kiwango Lema yupo kwenye harakati za mfa maji na anatafuta pa kujiokolea.
 
Kazi za kuingiza kipato zipo nyingi lakini sio zote zakujivunia. Bodaboda sio kazi ya kujivunia hata kidogo.
Kunawakati watu waliaminishwa kwamba unyonge nijambo la kujisifia. Watu walijiita viongozi wa wanyonge. Nakumbuka Mbowe alisema kuambiwa wanyonge nikudharauliwa. Nilikubaliana na hoja yake.
Hao wanaoshabikia vijana wajiajiri kwenye bodaboda mbona wao wameomba ubunge?
Mbona watoto na jamaa zao sio mabodaboda?
Ndio hiyo nikazi lakini sio yakujivunia. Kubangaiza sio neema bado
 
Hebu wewe washawishi wanajukwaa kwamba Lema ni muongo.
Usicheze na uhai wa mtu. Mtu kama alifanikiwa kuutorosha mwili usidhurike na roho isiuage mwili,muache atoe yamoyoni.
 
Jina lako tu linatosha kueleza kwanini umeleta uzi huu Mkuu.
 
Tushajua wewe ni team marehemu
 
Hivi bado ni 7000/= au ishagapanda? Maana Boom lenyewe tu limepandishwa tayari.
 
Wapumbavu kama nyie ndio mnalirudisha taifa nyuma
 
Hebu wewe washawishi wanajukwaa kwamba Lema ni muongo.
Usicheze na uhai wa mtu. Mtu kama alifanikiwa kuutorosha mwili usidhurike na roho isiuage mwili,muache atoe yamoyoni.
Mwambie ukweli huyo kenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…