johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kamanda Asiyechoka: Chadema hatujajipangaAu yupo tayari mtoto wake awe bodaboda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda Asiyechoka: Chadema hatujajipangaAu yupo tayari mtoto wake awe bodaboda?
Kwa bwan country wide huwa nakuelewa San kwenye mamb fln kiukweli hi kauli ya lema haikubalik kwa namna yoyote ile kudharu na kutweza Kaz na utu wa mtu leo hi lema akiambia ataje watoto au wamam alowasadia yey Hadi kufika vyiuo vikuu hakuna hata mmoja leo hi anakuja kuadharau watu arushaLema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.
Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.
Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?
Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?
Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Kajipange na afande wa zenji ufurahi.Kamanda Asiyechoka: Chadema hatujajipanga
Tushajua wewe ni team marehemuHv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.
Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.
Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
Hivi bado ni 7000/= au ishagapanda? Maana Boom lenyewe tu limepandishwa tayari.Lema maisha yake yote amekuwa akitafuta sympathy politics. Kabla ya kukosa ubunge alikaa nchini kipindi chote. Baada ya kukosa ndio akaanza siasa za kutaka kuuawa. Tena baada ya uchaguzi.
Sasa tujiulize
1. Je angeshinda ubunge angetengeneza hii tamthiliya anayoicheza kwa misukule wa ufipa?
2. Kama alihisi vitisho kwa nini alisubiri mpaka matokeo ya ubunge yatangazwe ndio akimbie je tuamini kile kilichosemwa na Zitto?
3. Mbona hakutoa taarifa za kutishiwa kipindi chote cha kampeni zaidi ya kuishia kubishana na Gambo kila siku?
4. Yeye alikuwa mbunge toka 2015 Magu alipoingia, je iweje vitisho vianze baada ya kukosa ubunge?
Ukitafakari haya utaona ni kwa kiwango Lema yupo kwenye harakati za mfa maji na anatafuta pa kujiokolea.
Wapumbavu kama nyie ndio mnalirudisha taifa nyumaHuyo anayedaiwa alikua mwizi wa magari atakua na sababu gani zaidi ya kuleta uongo mtupu. Eti alitaka kuwawa na nani.
Kwanza hakua tishio lolote kisiasa kwa serikali ya ccm. Na tunamshukuru zitto kwa kutueleza ukweli. Vibaraka hawa walipewa offer na mabeberu wakimbilie nje kama wakimbizi ili kutumika dhidi ya nchi yao.
Badala ya kuruhusiwa kupatiwa makaribisho ya kupanga walitakiwa kukamatwa kwa usaliti.
Mwambie ukweli huyo kenge!Hebu wewe washawishi wanajukwaa kwamba Lema ni muongo.
Usicheze na uhai wa mtu. Mtu kama alifanikiwa kuutorosha mwili usidhurike na roho isiuage mwili,muache atoe yamoyoni.
Mwambie ukweli huyo ndezi!Tushajua wewe ni team marehemu
Waambie ukweli hawa mapimbi!Awamu ya 5 ingemfunga au kummaliza chezeaa yule Mzee alikuwa muuaji
Waambie ukweli hawa washenzi!Lile jitu lilikuwa katili eti si unaona lilivyomfanya Lissu?