Utabiri wa Mwalimu u karibu sana na watu wanausubiri kwa hamu kubwa!Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Jiwe alisimama yeye kama yeye na roho yake ya kihutu. Usijifiche kwenye chaka la chama.Unamtenga vipi mwenyekiti wa CCM na makosa ya chama hicho?, yaani tuikosoe CCM bila kumkosoa yeye?.
Eti, "Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali"...Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.
Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.
Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?
Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?
Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Wajinga watakutukanaBaada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Mambo gani shwari SASA Ivi ?Jiwe alisimama yeye kama yeye na roho yake ya kihutu. Usijifiche kwenye chaka la chama.
Kama chama kinahusika inakuwaje hivi sasa mambo ni shwari, kwani ccm imekufa?
Ligasi iacheni itajitetea yenyewe. Ligasi ina uhai, ina nguvu za kupambana yenyewe.Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Mmekua kama mitetea wanaotaka kutaga! Legacy ipi? Mnaujinga mwing san nyie mkiulizwa ni utawala upi ulijenga san miundo mbinu na barabara hamjui!! Pamoja na janja janja ya zito hakukosea kuwaita washamba na malimbukeni!!! Mzee wa migebuka u was right bout those washamba na malimbukeni!!!Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali
Unahitaji kusikia kinacho kufurahisha moyo? Utakua una matatizo kwa kichwa, kweni we nani duniani kiasi ujidanganye kwamba mawazo yako ndiyo Bora kuliko mengineUnamtetea Sabaya? Dunia itakushangaa.
Ni mawazo yako na hakuna anayekupingaUmeandika ki politics sana lakin hauna uelekeo.
Iko hivi ukipewa madaraka na rais, fanya kazi within mipaka yako. Ukijitia kiherehere kujiongeze majukumu utaumia. Sabaya ni mfano hai kuwa ukivurunda hata mabosi wanakunawa. Hii ipo kote hata ofice mbali mbali serikalini
Alitakiwa ajue hilo
Wewe unaona serikali ya Samia inateka, inaua, inapora au kupiga watu risasi?Mambo gani shwari SASA Ivi ?
Mtachanganyikiwa.Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Na JPM, Mwamba, Jiwe HACHAFUKI kwa chochote zaidi ya kuchafuka wenyewe!Kwa Muenendo wa Siasa za Upinzani Nchini. Yafuatayo ni Dhahania ya Masharti ya Maridhiano.
A: Mwende Mkamchafue JPM. Hili ni lengo kuu la Maridhiano.
B: Msijaribu kuyasema mapungufu ya awamu hii.
C:Msiwaze kuhusu wananchi na shida zao, Watachonga sana juu yenu ,Achaneni nao.
D:Msimeme Bimkubwa Kwa lolote.
E:Msifikirie Kushuka Dola Mpaka Bimkubwa Astaafu.
Ni kwamba baada ya Awamu ya sita kuona kuwa Kila wakimgusa JPM wanakua wamewasha moto, ndipo wakaamua kuwapa jukumu hilo walamba Asali.
Hapa tuwapongeze Wana Awamu wanecheza kama Pele. Inamaana Upinzani utakuwa unafanyiwa kazi hoja elekezi kuanzia Sasa. Muhim ni Asali itiririke tu.