Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Jibu la hoja zako ni fupi kwamba Mama Samia amechukua madaraka ya Urais kikatiba tu ni kama anashikiria kwa muda tu lakini wenye chama wanataka afuate wanavyotaka akienda kinyume walisema kwenye mkutano wao uliofanyika mwaka Jana kwamba watamtoa.

Hivyo Hana mamlaka ya kuibadilisha ccm.
 
Lema amewatukana vijana Waliojiajiri kwa kuwaambia wanafanya kazi za laana, hii suala limeacha simanzi kwa vijana wengi sana.

Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali kuona wamepokeaje kauli hii yenye dharau kubwa sana. Hakika walio wengi wanajuta kwa Nini walienda Kumpokea Lema.

Serikali inapambana usiku na mchana ili vijana wapate ajira na wajiajiri alafu leo lema anakuja kuwatukana?

Lema anapaswa kuomba radhi kwa kauli hii. Yeye kwa kuwa anakula na kulala bure kule canada basi anataka watu wote waishi hivyo kitu ambacho hakiwezekani. Imeandikwa kwenye vitabu takatifu kuwa mwanaume atakula kwa jasho, wewe inakuaje unakula bure alafu unaleta dharau kwa wanaokula kwa jasho?

Lema anapaswa kuomba radhi mara moja kwa kauli hii.
Eti, "Jana nilikua Arusha nimezunguka sehemu mbalimbali"...

Madai ya mtoa mada ni kwamba amefanya 'random sampling' to reach this conclusion [emoji2]

Ukimuuliza amezunguka wapi na wapi, ametumia vigezo gani kuchagua hayo maeneo aliyoyazungukia, amehoji watu wa rika gani, wenye kazi gani, n.k, kamwe hawezi kukupa majibu.

Ameshiba kande huko anakuja kuharisha humu bila tafiti.

Inasikitisha sana.
 
Hakuna aliyewapa maelekezo yoyote hao viongozi wa Chama Cha Mbowe. Ni maamuzi yao binafsi yamewafanya waamue kumpigia kampeni Mama Samia kabla ya 2025. Nionavyo mimi 2025 CHADEMA haitaweka mgombea ili kumsapoti Mama Samia au wanaweza kuweka mgombea dhaifu sana kama Mdude Chadema au Mnyika ili Mama asipate upinzani wowote. Kiukweli ninawapongeza sana Mbowe na wenzake kwa kuamua kusapoti mambo makubwa yanayofanywa na Mama Samia.
 
Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Ligasi iacheni itajitetea yenyewe. Ligasi ina uhai, ina nguvu za kupambana yenyewe.
 
Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Mmekua kama mitetea wanaotaka kutaga! Legacy ipi? Mnaujinga mwing san nyie mkiulizwa ni utawala upi ulijenga san miundo mbinu na barabara hamjui!! Pamoja na janja janja ya zito hakukosea kuwaita washamba na malimbukeni!!! Mzee wa migebuka u was right bout those washamba na malimbukeni!!!
 
Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali

FoVixEVWAAAou0r.jpeg
 
Kwa Muenendo wa Siasa za Upinzani Nchini. Yafuatayo ni Dhahania ya Masharti ya Maridhiano.

A: Mwende Mkamchafue JPM. Hili ni lengo kuu la Maridhiano.

B: Msijaribu kuyasema mapungufu ya awamu hii.

C:Msiwaze kuhusu wananchi na shida zao, Watachonga sana juu yenu ,Achaneni nao.

D:Msimeme Bimkubwa Kwa lolote.

E:Msifikirie Kushuka Dola Mpaka Bimkubwa Astaafu.

Ni kwamba baada ya Awamu ya sita kuona kuwa Kila wakimgusa JPM wanakua wamewasha moto, ndipo wakaamua kuwapa jukumu hilo walamba Asali.
Hapa tuwapongeze Wana Awamu wanecheza kama Pele. Inamaana Upinzani utakuwa unafanyiwa kazi hoja elekezi kuanzia Sasa. Muhim ni Asali itiririke tu.
 
Unamtetea Sabaya? Dunia itakushangaa.
Unahitaji kusikia kinacho kufurahisha moyo? Utakua una matatizo kwa kichwa, kweni we nani duniani kiasi ujidanganye kwamba mawazo yako ndiyo Bora kuliko mengine
 
Umeandika ki politics sana lakin hauna uelekeo.
Iko hivi ukipewa madaraka na rais, fanya kazi within mipaka yako. Ukijitia kiherehere kujiongeze majukumu utaumia. Sabaya ni mfano hai kuwa ukivurunda hata mabosi wanakunawa. Hii ipo kote hata ofice mbali mbali serikalini
Alitakiwa ajue hilo
Ni mawazo yako na hakuna anayekupinga
 
Watanzania ni wajinga sana ,wengi ni wajinga .

Kama Kuna watu ilipaswa waadhibiwe vya kutosha ni Hawa UPINZANI UCHWARA.
 
Baada ya kumsikia Godbless Lema akiwazuia wanachama na wafuasi kutomkosoa mama, na kuzuga kuwa eti waikosoe CCM ikikosea, sasa nimepata jibu la maridhiano na tuhuma za kulamba asali...
Mtachanganyikiwa.

Akosolewe asikosolewe hakuna kitakachobadilika yeye mwenyewe hana hasara wa faida asifiwe au akosolewe maana ashatangulua mbele za haki.

Tuache kumtafuta aliyekufa kati ya walio hai
 
Kwa Muenendo wa Siasa za Upinzani Nchini. Yafuatayo ni Dhahania ya Masharti ya Maridhiano.

A: Mwende Mkamchafue JPM. Hili ni lengo kuu la Maridhiano.

B: Msijaribu kuyasema mapungufu ya awamu hii.

C:Msiwaze kuhusu wananchi na shida zao, Watachonga sana juu yenu ,Achaneni nao.

D:Msimeme Bimkubwa Kwa lolote.

E:Msifikirie Kushuka Dola Mpaka Bimkubwa Astaafu.

Ni kwamba baada ya Awamu ya sita kuona kuwa Kila wakimgusa JPM wanakua wamewasha moto, ndipo wakaamua kuwapa jukumu hilo walamba Asali.
Hapa tuwapongeze Wana Awamu wanecheza kama Pele. Inamaana Upinzani utakuwa unafanyiwa kazi hoja elekezi kuanzia Sasa. Muhim ni Asali itiririke tu.
Na JPM, Mwamba, Jiwe HACHAFUKI kwa chochote zaidi ya kuchafuka wenyewe!
 
Msiwaambie wananchi kuwa hii ni awamu ya tano muhula wa pili bali kaeni kimya au mseme ni awamu ya sita
 
Back
Top Bottom