Kwa Muenendo wa Siasa za Upinzani Nchini. Yafuatayo ni Dhahania ya Masharti ya Maridhiano.
A: Mwende Mkamchafue JPM. Hili ni lengo kuu la Maridhiano.
B: Msijaribu kuyasema mapungufu ya awamu hii.
C:Msiwaze kuhusu wananchi na shida zao, Watachonga sana juu yenu ,Achaneni nao.
D:Msimeme Bimkubwa Kwa lolote.
E:Msifikirie Kushuka Dola Mpaka Bimkubwa Astaafu.
Ni kwamba baada ya Awamu ya sita kuona kuwa Kila wakimgusa JPM wanakua wamewasha moto, ndipo wakaamua kuwapa jukumu hilo walamba Asali.
Hapa tuwapongeze Wana Awamu wanecheza kama Pele. Inamaana Upinzani utakuwa unafanyiwa kazi hoja elekezi kuanzia Sasa. Muhim ni Asali itiririke tu.