KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Sasa mnawalaumu kuwa bodaboda mmewapa kazi mbadala?Watanzania wengi wakiambiwa ukweli wanaona wanatukanwa.
Unaweza kuwakuta watu wapo karibu na choo, pananuka mavi, ukawaambia hapa mlipokaa pananuka mavi.
Wengi wao (sio wote) badala ya kuchukua maneno yako na kuyafanyia kazi, watalalamika umewatukana.
Kwa Muenendo wa Siasa za Upinzani Nchini. Yafuatayo ni Dhahania ya Masharti ya Maridhiano.
A: Mwende Mkamchafue JPM. Hili ni lengo kuu la Maridhiano.
B: Msijaribu kuyasema mapungufu ya awamu hii.
C:Msiwaze kuhusu wananchi na shida zao, Watachonga sana juu yenu ,Achaneni nao.
D:Msimeme Bimkubwa Kwa lolote.
E:Msifikirie Kushuka Dola Mpaka Bimkubwa Astaafu.
Ni kwamba baada ya Awamu ya sita kuona kuwa Kila wakimgusa JPM wanakua wamewasha moto, ndipo wakaamua kuwapa jukumu hilo walamba Asali.
Hapa tuwapongeze Wana Awamu wanecheza kama Pele. Inamaana Upinzani utakuwa unafanyiwa kazi hoja elekezi kuanzia Sasa. Muhim ni Asali itiririke tu.
Baadala uhangaike na Deni la Taifa limefika trilioni 76 wewe unahangaika na Upinzani ambao haupo serikalini. Unashindwa kuiadhibu serikali kwa mfumuko wa Bei na ugumu wa Maisha unawaza Upinzani ambao haupo bungeni, Wala serikali za mitaa na wala hawaundi serikali.
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.
Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.
Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
Roma mkatoriki alikuwa na impact gani kwenye tungo na mashaili ya nyimbo zake mpaka avunje vidole na kupolwa vifaa vya studio?Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.
Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.
Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.
Kuna watu watakuja kuishi kwa mashaka sana humu duniani. Hata nchi hii wataikimbia milele
Huna akili, Panama Pepa ilivujisha majina ya watu waloifadhi Pesa nje ya Nchi, Akina JK, na wengineo wapo.Unamuingelea jpm yupi? Aliyeficha pesa China au JPM aliyejiita kichaa mwenye faili milembe.
Na JPM, Mwamba, Jiwe HACHAFUKI kwa chochote zaidi ya kuchafuka wenyewe!
Ujinga mtupu ,Wewe unaamini CDM kinaweza chukua Nchi ?.Tukubali JPM alitumia dola kupambana na CHADEMA, bila kujua akifa CHADEMA watamshughulikia.
A wordWatoto wenu wanapowatumia fedha jitahidini kuziombea, zungumzeni na watoto wenu hasa ninyi familia Duni.
Yupo na kazi ya Mungu inaendeleaHivi kanisa la ufufuo na uzima bado lipo? Au baba askofu yupo bize na majukumu?
We mpuuzi kweli,JPM alipo ni takataka,unaichafuaje takataka?
Waacheni waendelee kukiwasha....watanzania sio mambulula kihivyo....mwana kulitafuta mwana kulifind
Mwisho wa kunukuuWe are not safe, let us reconcile
Upinzani gan unapozumgumzia?? Hivi nyie Wananchi ni wajinga kiasi hiki?.
Kuna Upinzani ulouona hapa Nchini unaomwakilisha Mtanzania?.
Logical non sequitur.Sasa mnawalaumu kuwa bodaboda mmewapa kazi mbadala?
Binafsi nawapenda mana i shop instagram delivery mwanzo mwisho sihangaiki everr
Sokoni nk
Naona wanarahisisha maisha
Ujinga mtupu ,Wewe unaamini CDM kinaweza chukua Nchi ?.
Anzisha chama chako stupidWatanzania ni wajinga sana ,wengi ni wajinga .
Kama Kuna watu ilipaswa waadhibiwe vya kutosha ni Hawa UPINZANI UCHWARA.
Woodland = Countrywide = kibaha Mjini = akili kisoda = MchapiwaMimi sio bodaboda Ila nawaheshimu sana maana wapo watu wazima wenye familia na wanasomesha Watoto kwa kazi hiyo