KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Sasa mnawalaumu kuwa bodaboda mmewapa kazi mbadala?Watanzania wengi wakiambiwa ukweli wanaona wanatukanwa.
Unaweza kuwakuta watu wapo karibu na choo, pananuka mavi, ukawaambia hapa mlipokaa pananuka mavi.
Wengi wao (sio wote) badala ya kuchukua maneno yako na kuyafanyia kazi, watalalamika umewatukana.
Binafsi nawapenda mana i shop instagram delivery mwanzo mwisho sihangaiki everr
Sokoni nk
Naona wanarahisisha maisha