Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Watanzania wengi wakiambiwa ukweli wanaona wanatukanwa.

Unaweza kuwakuta watu wapo karibu na choo, pananuka mavi, ukawaambia hapa mlipokaa pananuka mavi.

Wengi wao (sio wote) badala ya kuchukua maneno yako na kuyafanyia kazi, watalalamika umewatukana.
Sasa mnawalaumu kuwa bodaboda mmewapa kazi mbadala?

Binafsi nawapenda mana i shop instagram delivery mwanzo mwisho sihangaiki everr
Sokoni nk
Naona wanarahisisha maisha
 
Kwa Muenendo wa Siasa za Upinzani Nchini. Yafuatayo ni Dhahania ya Masharti ya Maridhiano.

A: Mwende Mkamchafue JPM. Hili ni lengo kuu la Maridhiano.

B: Msijaribu kuyasema mapungufu ya awamu hii.

C:Msiwaze kuhusu wananchi na shida zao, Watachonga sana juu yenu ,Achaneni nao.

D:Msimeme Bimkubwa Kwa lolote.

E:Msifikirie Kushuka Dola Mpaka Bimkubwa Astaafu.

Ni kwamba baada ya Awamu ya sita kuona kuwa Kila wakimgusa JPM wanakua wamewasha moto, ndipo wakaamua kuwapa jukumu hilo walamba Asali.
Hapa tuwapongeze Wana Awamu wanecheza kama Pele. Inamaana Upinzani utakuwa unafanyiwa kazi hoja elekezi kuanzia Sasa. Muhim ni Asali itiririke tu.

Unamuingelea jpm yupi? Aliyeficha pesa China au JPM aliyejiita kichaa mwenye faili milembe.
 
Baadala uhangaike na Deni la Taifa limefika trilioni 76 wewe unahangaika na Upinzani ambao haupo serikalini. Unashindwa kuiadhibu serikali kwa mfumuko wa Bei na ugumu wa Maisha unawaza Upinzani ambao haupo bungeni, Wala serikali za mitaa na wala hawaundi serikali.

Upinzani gan unapozumgumzia?? Hivi nyie Wananchi ni wajinga kiasi hiki?.

Kuna Upinzani ulouona hapa Nchini unaomwakilisha Mtanzania?.
 
Hv kweli umeishi Canada miaka yote hiyo, Leo unarudi bongo baada ya kazi uliyopata huko ya mkataba kuisha na sasa huna kazi ya kufanya unaitisha mkutano. Unasumbua watu wenye akili zao waache kusaka noti wakasomeshe watoto wao, unatumia masaa 2 kulalamika kuwa ulitaka kuuawa.

Wewe una impact gan had wakuue? Umeona huna agenda ya kuwaaambia wananchi zaidi ya kulalamika kuwa ulitaka kuuawa ili wananchi wakuonee huruma, siasa za kijinga kabisa.

Haya sasa umerudi fanya siasa kaka lema.

Roma mkatoriki alikuwa na impact gani kwenye tungo na mashaili ya nyimbo zake mpaka avunje vidole na kupolwa vifaa vya studio?
 
Hivi kanisa la ufufuo na uzima bado lipo? Au baba askofu yupo bize na majukumu?
 
Unamuingelea jpm yupi? Aliyeficha pesa China au JPM aliyejiita kichaa mwenye faili milembe.
Huna akili, Panama Pepa ilivujisha majina ya watu waloifadhi Pesa nje ya Nchi, Akina JK, na wengineo wapo.

Unadhan Kwa namna JPM alivyowakaba kooo, walishindwa wazungu kumuumbua????.
 
Sio vibaya tukatofautisha maoni na kuweka uhalisia kwa Siasa "zilizokosekana"

Jionee mwenyewe haya

Haya ndio yalikosekana; mijadala ya kukejeli na kubeza Watazania na ajira zao.
 
Waacheni waendelee kukiwasha....watanzania sio mambulula kihivyo....mwana kulitafuta mwana kulifind

Watanzania wapo huru. Sasa hivi wanafanya siasa bila kuogopa Kama Kuna watu wasiojulikana.
 
Upinzani gan unapozumgumzia?? Hivi nyie Wananchi ni wajinga kiasi hiki?.

Kuna Upinzani ulouona hapa Nchini unaomwakilisha Mtanzania?.

Wewe chawa wa Magufuli utaona zuri la Upinzani. Magufuli ameingia madarakani 2015, kazuia Upinzani usifanye siasa kwa miaka saba. Ni juzi hapa ndipo Upinzani umeruhusiwa kufanya siasa. Ulitakaje? Uchaguzi wameibiwa, Viongozi wao wanashambuliwa na riasasi, wengine kuuawa, ulitakaje? Tuache unafiki wa kijinga wa kuongea vitu tusivyovijua.
 
Sasa mnawalaumu kuwa bodaboda mmewapa kazi mbadala?

Binafsi nawapenda mana i shop instagram delivery mwanzo mwisho sihangaiki everr
Sokoni nk
Naona wanarahisisha maisha
Logical non sequitur.

Watanzania wengi huona lawama hata pale ambapo hapana lawama.

Ndivyo hivyo mtu anaambiwa hapa pananuka mavi, anaona kalaumiwa kwamba yeye mchafu.

Wakati inawezekana yeye hana lawama kwa sababu ile harufu kashaizoea na hajui kwamba ipo.
 
Back
Top Bottom