Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Kwani kila anachisema Lema unamuamini?
 
Unafikiri ukishakuwa rais wa nchi utakosa influence baada ya kustaafu?.

Nyerere alikuwa na influence kwa Mwinyi.

Mkapa alikuwa na influence kwa Magufuli

Haitokuwa ajabu Kikwete akawa na influence kwa SSH.

Na SSH akistaafu huenda akawa na Influence kwa atakayekuja
 
Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.

Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
What a poor justification and reasoning....!!!!!
 
Khahahahahaha,nakumbuka mbali sana.Mambo mengine hayawezi badirika na hayana madhara kabisa.

Kipindi,naingia darasa7 mwaka flani,nilikuwa naomba matilio kwa jamaa au rafiki zangu was karibu waliokuwa wanamaliza mtihani.
Matilio ya darasa la7,ili nikamue vilivyo.Nakweli zilisaidia.vilevile Sekondary pia Advance.

So,hata kiuongozi lazima kuwe na kumwuliza.

Au maisha yetu ya kila siku,Mambo yakizidi.gafra kwa BABU AU BIBI.

Hivyo punguzeni hasira na kufatilia yasiyowahusu,maana sisi hakuna tusichohoji.
 
Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.

Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
dogo unafaa kuwa kiongozi wa jf akili yako imetulia,humu jf kuna misukule inadhani rais ni mtu wakipigiwa simu na kila mtu na kuongea nae[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…