Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kila anachisema Lema unamuamini?"Nilimpigia Simu Rais Mstaafu Kikwete na kumwambia nataka kurudi Tanzania nae ( Kikwete ) akaniuliza nipo na nani na nataka Kurudi lini nikamjibu nae ( Kikwete ) akaniambia nisubiri waweke mambo sawa na nitarejea tu"
Akina GENTAMYCINE Kutwa tena kwa Kujiamini na kuwa na Uhakika kuwa Mstaafu Kikwete ana Nguvu katika Utawala wa Rais Samia na Rais Samia hapinduki ( hana Kauli ) kwa Kikwete na kwamba Kikwete bado ni Rais ( japo Kivuli ) huwa mnakataa na Kubisha.
Rais ni Samia kwanini Wewe umpigie Simu Rais Mstaafu Kikwete? Kama Lema kwa Kusema haya unadhani Umempaisha Kikwete basi ndiyo Umeharibu zaidi na Kututhibitishia kuwa Tanzania ya sasa Kikwete ndiyo mwenye Maamuzi ya Mwisho na wengine ni Ceremonial Presidents tu.
Kabisa mkuuCCM watasema lema kadharau bodaboda ila kiukweli Ile sio kazi
Hilo tu ndio umeliona mkuuBoda boda wengi wanachapiwa sana wake zao...😄
Kwani nini niseme yote.....Hilo tu ndio umeliona mkuu
Sijakudhihaki mkuu nimeandika ukwelu mtu wengi wenu mnafanya hiyo kazi na hali ya kuwa hamuipendiWewe mwenye kazi yako ya maana USITUDHIHAKI SISI BODA BODA,hii ndiyo ajira yetu!
Sema tuKwani nini niseme yote.....
Mwisho ni kwamba boda boda wengi ni wambea sana tena sana.Sema tu
Kweli kabisa !!Mpinzni wa kweli wa kwanza Alikuja ,
Na sasa amelala Chato, atakuja mwingine tu...
Huenda alimuamini mtu kama yule Maliyamungu wa Uganda enzi za Iddi Amin !!Alizidi sana ukatili
Wenye Akili hata kabla ya Lema Kutapika Upuuzi wote huu tulikuwa tunajua kuwa Mkwere ndiyo Remote na Mzanzibari no Monitor / Screen na tunajua Mkwere ana 98% ya Influence katika Awamu ya sasa na hata Serikali ya sasa.JK Hata furahia
What a poor justification and reasoning....!!!!!Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.
Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako
For the Fools.Kikwete bomber sana
Nani asiyejua kuwa JK ndiyo bado Rais na Wengine ni Ceremonial tu Mkuu?kwani kila anachisema lema unamuamini?
dogo unafaa kuwa kiongozi wa jf akili yako imetulia,humu jf kuna misukule inadhani rais ni mtu wakipigiwa simu na kila mtu na kuongea nae[emoji120]Unajua hata magufuli kuna watu wasingeweza kumtokea moja kwa moja mpaka wapotie kwa wazee fulani fulani? Hata uwe dictator wa hatari watakuwepo wazee wachache ambao wakikuambia jambo unawasikiliza.
Na hiyo haimaanishi hao wazee wapo juu yako