Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Alikuwa anavaa Baibui?

20230228_101830.jpg
 
Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..

Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...

Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
 
Ila Chadema wanachosha kila siku Magufuli hakuna habari nyingine kutoa sera zenu kwa wananchi alafu mkishindwa uchaguzi mnaanza kulaumu mnaibiwa kura sasa hivi unatabiri kabisa kama vile unabet lakini kila mkutano wao lazima wamzungumzie Magufuli as if ndio wanashindana nae kisiasa 2025
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema alilkimbia nchi Baada ya kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa na kutekwa pia

Lema amesema kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu na Ben Saanane hata yeye alikuwa akipokea vitisho vingi na Nyumba yake ya Machame ilichomwa moto

Hata alipoenda kukagua Migodi yake ya madini imlazimu avae baibui ili kuwakwepa maadui zake

Lema anasema ilifika Wakati mkewe aliwekewa madawa ya kulevya na kuna Wakati alibambikiwa kesi ya Wizi wa Gari ambalo mali yao

Lema alikuwa akihojiwa na Watangazaji nguli wa Clouds Media

Source: Clouds
๐Ÿ˜ฒ Ndio maana kuna baadhi ya watu nikikutana nao wamevaa baibui sometimes nakuwa na mashaka nao sana.
Kumbe inaweza kuwa ni wanaume
 
Back
Top Bottom