SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
una akili timamu ?Lema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
Kichaa ni Jiwe MwendakuzimuLema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
π€£π€£π€£π€£Omba yasikukute
Mama yako ndo anaweza kujibu hilo swali.una akili timamu ?
una akili timamu ?
Oo mweee....π¦Άπ¦ΆMama yako ndo anaweza kujibu hilo swali.
Katikati Tumbiri vs JescaUku Fei kule lema
π² Ndio maana kuna baadhi ya watu nikikutana nao wamevaa baibui sometimes nakuwa na mashaka nao sana.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema alilkimbia nchi Baada ya kukoswakoswa kuuawa mara kadhaa na kutekwa pia
Lema amesema kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu na Ben Saanane hata yeye alikuwa akipokea vitisho vingi na Nyumba yake ya Machame ilichomwa moto
Hata alipoenda kukagua Migodi yake ya madini imlazimu avae baibui ili kuwakwepa maadui zake
Lema anasema ilifika Wakati mkewe aliwekewa madawa ya kulevya na kuna Wakati alibambikiwa kesi ya Wizi wa Gari ambalo mali yao
Lema alikuwa akihojiwa na Watangazaji nguli wa Clouds Media
Source: Clouds
ππ Unaweza kutongoza kumbe ni bwashee Lema!π² Ndio maana kuna baadhi ya watu nikikutana nao wamevaa baibui sometimes nakuwa na mashaka nao sana.
Kumbe inaweza kuwa ni wanaume
Asipo sema sababu iliomkimbiza watu wataamini maneno ya zitto kwamba walilipwa ili wakawe wakimbiz wakisiasaHajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
Zuwena keshafunikwa
Sio kwamba wao ndo wanawachapa wamama wa nyumbani?Boda boda wengi wanachapiwa sana wake zao...π