Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Hizi swaga tushazichoka, kuna hatari CDM ni genge la wale wahuni BOYZ 2 MEN, na plan imefanikiwa 100%... Viti vingi vya ubunge vya CDM kuna hatari vilikuwa ni makubaliano na lile genge la wahuni.

Bila shaka makubaliano ni yale yale tena, wameshapewa majimbo na kule bungeni wanakwenda kuendelea kuwa wanaserere kama yule ndugu yao wa ACT.
 
Hajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..

Very soon watamchoka
Kwa bahati mbaya sana Wateja wa hivi Vyama vya siasa na hata wasio Wanachama wanapenda hadithi kama hizi kuzisikia toka kwa Wanasiasa wa Vyama vyao.
CDM inaenda na upepo huo.
 
Lema ni mwizi mzoefu wa magari wala hakubambikiwa, huko Canada mara kadhaa pia kaonekana akivaa madela sidhani kama hakupata bwana wa kizungu huyu jamaa!
We jamaa mimba changa inakusumbua mno...vumilia muda si mrefu utazaa
 
Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..

Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...

Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Mbona wanaccm mnakuwa watu wa hovyo, mnadai Lema hakuwahi kutishwa eti alikimbia kesi ya wizi wa magari sasa Lema anapoleta simulizi za kisa kilichomfanya akimbie nchi mnaanza kumkashifu badala ya kujutia wapinzani waliyoyapitia! Alichofanyiwa Lisu ingekuwa Kenya kusingekalika hapa ndiyo kwanza wanaccm wanachekelea! Mmekuwa wakatili sana.
 
Mushi wengine Wana uelewa mkubwa sijui wewe ni Mushi wa aina Gani. Hakuna sehemu watu Wana blame utawala uliopita ila anaeleza Yale aliyoyapitia kwani ni kosa mkuu?
 
Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.
Kuna wakati imeelezwa kuwa ualimu nao ni laana, je ina maana walimu wanaofanya bodaboda as part time job wana laana mbili?
 
Kama boda boda ni kazi mbona nyie watoto wenu hafanyi kazi ya bodaboda? shame on you
Kama ni kazi ya Laana mbona mnawakodi kwny misafara ya shughuli zenu za kisiasa?

mlivyokuwa mazezeta wa kisiasa badala ya kumkana ili ionekane aliropoka tu au sio msimamo wa Chama nyie mnashupaza shingo kutetea ujinga
 
Na kwamba,

Mpaka wanaondoka kwenye majimbo yao, waliondoka na kuwaacha vijana wakifanya bodaboda, iweje sasa waiite ni biashara haramu?
 
Mbona wanaccm mnakuwa watu wa hovyo, mnadai Lema hakuwahi kutishwa eti alikimbia kesi ya wizi wa magari sasa Lema anapoleta simulizi za kisa kilichomfanya akimbie nchi mnaanza kumkashifu badala ya kujutia wapinzani waliyoyapitia! Alichofanyiwa Lisu ingekuwa Kenya kusingekalika hapa ndiyo kwanza wanaccm wanachekelea! Mmekuwa wakatili sana.
Watu wanataka kujua nn hasa kilitokea mpaka Lema akakimbia,cha ajabu Lema akisema madhira waliyokuwa wanapitia kabla ya uchaguzi,kwenye uchaguzi na baada ya uchaguzi watu wanachukia. Hawataki kabsa kukumbuka jinsi watendaji wa kata walivyokuwa wanafunga ofisi na kuzima cm ili wapinzani wasirudishe fomu uchaguzi wa serikali za mtaa, wanashindwa kujua kbsa wabunge wa ccm walizuiwa kwenda kumsalimia Lissu Nairobi Hospital, wanashindwa kbsa kujua kina Kafumu( aliyekuwa mbunge wa Igunga) waliitwa kuhojiwa baada ya kwenda kumsalimia Lema mjumbe mwenzao wa kamati ya Bunge gereza la Kisongo. Magufuli ndo aliasisi siasa za uhasama kwenye taifa hili. NI MJINGA NA MPUMBAVU PEKEE ASIYEAMINI KUWA BAADA YA UCHAGUZI WA 2015 KULIKUWA HAKUNA BIASHARA YA KUNUNUA WAPINZANI....NA KAMA YUPO AMUULIZE PROF ASSAD NINI KILIMKUTA ALIPOKUWA CAG NA KUTAKA KUHOJI ZILIPO TIL 1.5
 
Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.

Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.

Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
Lema kukaa nje kidogo karudi mjinga hasa
Haelewi kuwa bodaboda wako wanaozimiliki wenyewe wengi tu

Benki ya NMB imekopesha maelfu ya bodaboda kuwa wamiliki sio madereva tena

Taasisi nyingi zimekopesha na wanalipa vizuri tu marejesho

Anafikiri anaongea na madereva tu

Wako wengine ni madereva na wamiliki.wa bodaboda hadi kumi

Angefanya utafiti kwanza kuwa anaoongea nao ni nani

Wako wengine wafanyakazi wa serikali muda wa mapumziko huendesha bodaboda kuongeza kipato .Wengine hununua bodaboda na kuajiri madereva wa kuwaletea hesabu hadi wabunge wamo nawajua wanaomiliki bodaboda zaidi ya 30 na wanaletewa hesabu

Lema anaposema bodaboda ni umaskini anatukana kuanzia wamiliki kuwa bodaboda zinawapa umaskini wakati sio.kweli zinawapa utajiri na anatukana hadi madereva kuwa ile sio ajira!!! Haelewi kuna ajira rasmi na zisizo rasmi.Wenyewe wanajua ile ni ajira

Sekta ya bodaboda imebadilika sana Lema hana habari sababu hapandi anawaangalia tu akiwa kwenye gari yenye kiyoyozi

Atoe tamko tu mfano kuwa bodaboda nchi nzima wagome kutoa huduma hata kwa siku moja tu aone bodaboda watakavyomparamia kwa hasira kumpinga
 
Kuna wakati imeelezwa kuwa ualimu nao ni laana, je ina maana walimu wanaofanya bodaboda as part time job wana laana mbili?
Lema akiongea mdomo wake huwa hauna mawasiliano na akili yake ndio sababu
 
Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.

Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.

Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
Harafu Kuna kenge Bado wanabisha kwamba bodaboda sio ajira ya laana,Hawa vijana wapo desperate hatari,umeishawahi kuona kijana wa BOT,au bandari anaenda kupora cm mtaani,
 
Attachments

  • 20230304_065213.jpg
    20230304_065213.jpg
    163.7 KB · Views: 2
Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.

Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.

Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
Naomba niitolee mfano kama ifuatavyo, Fikiria Mji una watu laki mbili (200,000) watu laki Moja ni waendesha bodaboda na watu laki Moja nyingine ndio abiria wanaotegemewa kupelekwa kwenye kazi zao na hao bodaboda! Hivyo kipato Cha huyu aliyepelekwa kazini anagawana na huyu aliyempeleka!! Kwa maneno rahisi wamegawana umaskini!! Hivyo hapo wenye kazi ni watu laki Moja na Sio laki mbili! Unakuta wanasihasa wanaogelea kwenye boda bodaboda na kusema ni ajira so kweli!!
Nchi za wenzetu inapofika suala la kwenda kufanya kazi kunakuwepo na chombo au usafiri WA Pamoja unaowezesha watu kwenda kufanya kazi, yaani dereva mmoja anaendesha watu 50 kwenda kufanya kazi kuinua uchumi WA taifa!! Hawa bodaboda ni kama hawafanyi kazi Kwani hawana uchumi wowote wanao inua, huwezi kuwa na madereva laki Moja kupeleka watu laki Moja kufanya kazi na ujipambanue ni ajira@ mchumi Mbunge WA ubungo
 
Matusi ya nini?

Wamepewa majukwaa ya siasa, tunategemea hoja za kimaendeleo na si za ubinafsi.

Hivyo basi, LENGO KUU la hoja zao kwenye hiyo mikutano, ni nini hasa?
Ulikuwa unataka asifie? Huoni kuwa mleta mada anasema alikuwa anahojiwa? Kama mtangazaji alimpeleka kwenye angle hiyo ulikuwa hutaki atapike nyongo? Yeye kaulizwa, "una mtazamo gani kwenye utawala uliopita wa serikali ya awamu ya 5?" Sasa ulikuwa unataka ajibuje? Acha upumbavu ewe team marehemu
 
Back
Top Bottom