Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kwa bahati mbaya sana Wateja wa hivi Vyama vya siasa na hata wasio Wanachama wanapenda hadithi kama hizi kuzisikia toka kwa Wanasiasa wa Vyama vyao.Hajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
We jamaa mimba changa inakusumbua mno...vumilia muda si mrefu utazaaLema ni mwizi mzoefu wa magari wala hakubambikiwa, huko Canada mara kadhaa pia kaonekana akivaa madela sidhani kama hakupata bwana wa kizungu huyu jamaa!
Mbona wanaccm mnakuwa watu wa hovyo, mnadai Lema hakuwahi kutishwa eti alikimbia kesi ya wizi wa magari sasa Lema anapoleta simulizi za kisa kilichomfanya akimbie nchi mnaanza kumkashifu badala ya kujutia wapinzani waliyoyapitia! Alichofanyiwa Lisu ingekuwa Kenya kusingekalika hapa ndiyo kwanza wanaccm wanachekelea! Mmekuwa wakatili sana.Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Bwashee punguza munkari. Bado unaweza kuitetea chadema kwa hoja bila matusi, tena watu wenye akili zao watakuelewa vizuri zaidi.una akili timamu ?
Mushi wengine Wana uelewa mkubwa sijui wewe ni Mushi wa aina Gani. Hakuna sehemu watu Wana blame utawala uliopita ila anaeleza Yale aliyoyapitia kwani ni kosa mkuu?Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Una uhakikaKibongobongo ukiwa na nyumba na gari si bhas we huna hata kimoja hapo una pumb* tu
Kuna wakati imeelezwa kuwa ualimu nao ni laana, je ina maana walimu wanaofanya bodaboda as part time job wana laana mbili?Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.
Hii post yako haiondoi ukweli wa kile nimeandika!Unaitwa kisamv kwani yule ffu anaeliwa kiisamv kadi ya CCM alichukulia tawi lipi.
Police CCM anafokolewa
Ni kweli japo haijathibitikaKuna wakati imeelezwa kuwa ualimu nao ni laana, je ina maana walimu wanaofanya bodaboda as part time job wana laana mbili?
Kama ni kazi ya Laana mbona mnawakodi kwny misafara ya shughuli zenu za kisiasa?Kama boda boda ni kazi mbona nyie watoto wenu hafanyi kazi ya bodaboda? shame on you
Na kwamba,Kama ni kazi ya Laana mbona mnawakodi kwny misafara ya shughuli zenu za kisiasa?
mlivyokuwa mazezeta wa kisiasa badala ya kumkana ili ionekane aliropoka tu au sio msimamo wa Chama nyie mnashupaza shingo kutetea ujinga
Watu wanataka kujua nn hasa kilitokea mpaka Lema akakimbia,cha ajabu Lema akisema madhira waliyokuwa wanapitia kabla ya uchaguzi,kwenye uchaguzi na baada ya uchaguzi watu wanachukia. Hawataki kabsa kukumbuka jinsi watendaji wa kata walivyokuwa wanafunga ofisi na kuzima cm ili wapinzani wasirudishe fomu uchaguzi wa serikali za mtaa, wanashindwa kujua kbsa wabunge wa ccm walizuiwa kwenda kumsalimia Lissu Nairobi Hospital, wanashindwa kbsa kujua kina Kafumu( aliyekuwa mbunge wa Igunga) waliitwa kuhojiwa baada ya kwenda kumsalimia Lema mjumbe mwenzao wa kamati ya Bunge gereza la Kisongo. Magufuli ndo aliasisi siasa za uhasama kwenye taifa hili. NI MJINGA NA MPUMBAVU PEKEE ASIYEAMINI KUWA BAADA YA UCHAGUZI WA 2015 KULIKUWA HAKUNA BIASHARA YA KUNUNUA WAPINZANI....NA KAMA YUPO AMUULIZE PROF ASSAD NINI KILIMKUTA ALIPOKUWA CAG NA KUTAKA KUHOJI ZILIPO TIL 1.5Mbona wanaccm mnakuwa watu wa hovyo, mnadai Lema hakuwahi kutishwa eti alikimbia kesi ya wizi wa magari sasa Lema anapoleta simulizi za kisa kilichomfanya akimbie nchi mnaanza kumkashifu badala ya kujutia wapinzani waliyoyapitia! Alichofanyiwa Lisu ingekuwa Kenya kusingekalika hapa ndiyo kwanza wanaccm wanachekelea! Mmekuwa wakatili sana.
Lema kukaa nje kidogo karudi mjinga hasaMheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.
Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.
Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
Lema akiongea mdomo wake huwa hauna mawasiliano na akili yake ndio sababuKuna wakati imeelezwa kuwa ualimu nao ni laana, je ina maana walimu wanaofanya bodaboda as part time job wana laana mbili?
Harafu Kuna kenge Bado wanabisha kwamba bodaboda sio ajira ya laana,Hawa vijana wapo desperate hatari,umeishawahi kuona kijana wa BOT,au bandari anaenda kupora cm mtaani,Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.
Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.
Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
Naomba niitolee mfano kama ifuatavyo, Fikiria Mji una watu laki mbili (200,000) watu laki Moja ni waendesha bodaboda na watu laki Moja nyingine ndio abiria wanaotegemewa kupelekwa kwenye kazi zao na hao bodaboda! Hivyo kipato Cha huyu aliyepelekwa kazini anagawana na huyu aliyempeleka!! Kwa maneno rahisi wamegawana umaskini!! Hivyo hapo wenye kazi ni watu laki Moja na Sio laki mbili! Unakuta wanasihasa wanaogelea kwenye boda bodaboda na kusema ni ajira so kweli!!Mheshimiwa Godbless Lema anachokisema kuhusu bodaboda kina ukweli wa asilimia 90, bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha na hata ukiwaangalia wengi wao unaona kabisa hawana option B zaidi ya kuendesha bodaboda.
Moja ya dalili kuonesha kuwa bodaboda wengi wamekata tamaa ya maisha ni style yao ya uendeshaji wa hizo bodaboda wengi wao hawajali wanaendesha kwa mwendo kasi hata sehemu za hatari.
Yaani wana base na ule msemo wa liwalo na liwe kweli, bodaboda ni kazi ya laana wengi wao wanaofanya hii kazi hawana option.
Kichaa ni weweLema imekuwaje? Mbona kama vile kawa kichaa?
Sema utamchoka, sisi ndo tunapenda kusikia hayo ili tujue wovu wa serikali ya 5 mnayotuaminisha humu kuwa haitakaa itokeeHajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
Ulikuwa unataka asifie? Huoni kuwa mleta mada anasema alikuwa anahojiwa? Kama mtangazaji alimpeleka kwenye angle hiyo ulikuwa hutaki atapike nyongo? Yeye kaulizwa, "una mtazamo gani kwenye utawala uliopita wa serikali ya awamu ya 5?" Sasa ulikuwa unataka ajibuje? Acha upumbavu ewe team marehemuMatusi ya nini?
Wamepewa majukwaa ya siasa, tunategemea hoja za kimaendeleo na si za ubinafsi.
Hivyo basi, LENGO KUU la hoja zao kwenye hiyo mikutano, ni nini hasa?