Shughuli yoyote ikishaharamishwa haitwi Kazi.
Vijana mlienda kusomea ujinga
Wakukusaidia ni serikali iliyopo madarakani.Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Viambieni vyombo vya habari vifanye mahojiano kwenye angle mnayoitaka nyie.Ila kuna angle CHADEMA inabidi watambue kwamba wanatakiwa ku move on..
Mimi kama mwananchi ukianza kuniambia story za awamu ya tano, haunisaidii chochote...
Ndio tunajua awamu ya tano ilikuwa na mambo ya hovyo.. but keep blaming doesnt change what has already happened.
Huku Lema kule Fei na polisi shoga yaani vurumai tuUku Fei kule lema
Hapo nini shida?Alijibu maswali kutokana na walivyomuuliza.Hakuanza kuongea tu.Tuelewe hilo.Hajui political climate ikoje...
Watu washachoshwa na siasa za harakati...na kushambuliana ..
Very soon watamchoka
Mamb haya unaonekana bado mdogo huez elewa!! Hata LISSU mlipinga hivhiv! Ila kwa kifupi tu Huo ndio ukwel, kwann isiwe viongoz wengine wa CDM wakimbie nchi au walalamike kuhusu vitisho? NB; Ukifariki haimaanishi haitakiw yasemwe mabaya yako!!Hata akisema nani atamuamini maana anayemtuhumu alishafariki
Wewe ni mpumbavu.
Nimeandika hivyo kwasababu wengi wanaamini hizo ni kazi.
Ushahidi upi wameonesha sisi tuwaamini mimi naona wanaongea tu bila kuwa na evidenceMamb haya unaonekana bado mdogo huez elewa!! Hata LISSU mlipinga hivhiv! Ila kwa kifupi tu Huo ndio ukwel, kwann isiwe viongoz wengine wa CDM wakimbie nchi au walalamike kuhusu vitisho? NB; Ukifariki haimaanishi haitakiw yasemwe mabaya yako!!
Wee ndio bure kbs kuliko unaemshambulia! Hujaweka facts zozote umekimbilia personal attacks!! Weka evidence anamiliki hiki na hamiliki na ushahid ni huu!! Kibaya zaid umeingiza ule ujinga wa propaganda za kisiasa!! Jinga kbsLema ametumia platform alipewa na ccm kuropoka uongo mwingi mwingi sana,sijali huo uongo wake kwasababu haubadilishi ukweli wowote
Ila ninachotaka kusema lema anaongea uongo wa kumiliki mashimo kumbe ni uongo hana shimo ila alipokea pesa ya waarabu flan ili yeye awe front
Na kwenye mashimo ameweka majina ya ndugu yake ili kukwepa kodi kwasababu anadaiwa madeni mengi
Lema aliyekaribia kufilisika kukaribia Hadi kuuza nyumba ya kuishi kutokana na mamikopo yake aliyokopa kichwa kichwa yakala mieleka
Lema usiongee bla bla game ndio kwanza linaanza,kesho ni njema sana kwa watu unaowadhani wabaya kwako
Lamba asali kimya kimya
Marekani kuna boda boda samahani lakini........
Kama marekani hakuna boda boda basi hii kazi ni laana kama laana zingine......Swali lako ni sawa uulize, Dodoma kuna uvuvi,
Au Iringa kuna uchimbaji WA dhahabu?
Kazi hutokea Kutokana na mazingira na uhitaji WA Watu kutaka Huduma Fulani. Hiyo tunaita Fursa.
Walinda legacy mambo ya umiliki wa migodi wap na wap? Mchunga ng'ombe na mgodi ni vitu bee tofaut!! Hamuez elewa hii mambo, in short umiliki wa migodi ni kitu cha kawaida mpaka kwa watu wa kawaida!!!Sugu nae alisema alitaka kuhamisha biashara zake nje. Alipoulizwa ni zipi hizo mbona hotel huwezi kuihamisha akasema ana malori yake.
Kama marekani hakuna boda boda basi hii kazi ni laana kama laana zingine......
Unasubir jeshi au serikali ikupe evidence? Btw bado mdogo ukikua utaelewa tu!!Ushahidi upi wameonesha sisi tuwaamini mimi naona wanaongea tu bila kuwa na evidence
Nani kakwambia huwezi kuhamisha hotel?Sugu nae alisema alitaka kuhamisha biashara zake nje. Alipoulizwa ni zipi hizo mbona hotel huwezi kuihamisha akasema ana malori yake.
Hapana mkuu unajua viongoz wa afrika hasa Tz wanatumia mfumo wa umaskini kama mtaji wao kwa sasa.....Unajua maana ya Laana?
Au huyo lema anajua maana ya Laana?
Elimu ni muhimu. Ninyi ndio mnafanya Vijana wasijiajiri Kwa dhana potofu na zakijinga
Watu wenye ubongo matope kama wewe ni hasara kwa nchi. Hivi mtu mwenye akili zake anaweza kuona suala la bodaboda lilipofikia kuwa kila kitu kiko sawa? Au wamachinga waliozagaa kila sehemu mtu na akili zako unasifu na kusema ni jambo zuri? Bodaboda na umachinga ni zao la ukosefu wa ajira unaotokana na mipango mibovu ya serikali kwa sababu ya viongozi wenye akili ndogo kama wewe. Na hapa sizungumzii tu ajira za ofisini. Tanzania tuna ardhi kubwa sana na tungekuwa na viongozi wenye vision basi kilimo na usindikaji wa mazao i.e. viwanda ingekuwa ndiyo ajira kwa vijana wengi. Anyways, kuna siku mtaelewa ni kwa nini Lema yuko sahihi. Siku ambayo bodaboda na wamachinga watakapoamua kudai haki yao kwa nguvu.Lema Mcanada ... bado hajasema kuishi Tanzania ni laana ...
Huku alimlilia Kikwete arudi Tz...
Limbukeni la Canada