Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Kila mtu akisema yanayomuuma si tutageuza taifa kuwa kituo cha maombolezo. Tangu huyo lema afike siskii sera yoyote aliyosema zaidi ya kashfa tu! Kwa mtaji huo 2025 wataendelea kuwa wapiga debe
Hudhuria mikutano ya CDM utasikia au fuatilia tang kufunguliwa kwa mikutano! NB; Sheria za Nchi hazimzuii raia kuelezea madhira aliyopitia, mtake msitake kila mmoja ataeleza mateso na maumiv tu haijalishi walinda legacy watachukia ama la!!!
 
Wewe utakuwa malaya wa siasa kwani unakurupuka kwa jambo la kibiashara na kulifanya la kisiasa. Lema ni mchimbaji wa Tanzanite anao mgodi wake hivyo haoni sababu ya kuzuiwa kufanya biashara kwa uhuru bila kuvunja sheria.
Haoni sababu au siyo? Dalali wa kutorosha Madini ndio tumuachie? Haipo hiyo
 
Kwani wakiwa huko hawazalishi?
 
Mwenye picha ya mke wa mjomba Lema

Maana anamsifia sana em tumuone msifiwaji 😃😃
 

Kama kweli mnawajali why msiwakopeshe kwenye mabenk yenu?

Mnapenda kuwafanya watu mazezeta Sana,

Kuna mtu umewahi kusikia amefanikiwa kuwa tajiri Kwa vikoba vya elf 20 20 Kwa wiki?
 
Mkeo angekuwa mmoja wa hao vikoba ungujuta siku ambayo angevamiwa nyumbani na kundi la kinamama wakiwa na maneno ya kila ajna yenye kumkashifu, ubunifu ni ule wenye tija siyo huu unaoweka shilingi elfu tano kisha unapewa shilingi elfu tano! Hapo umepata faida gani?
 
Kama kweli mnawajali why msiwakopeshe kwenye mabenk yenu?

Mnapenda kuwafanya watu mazezeta Sana,

Kuna mtu umewahi kusikia amefanikiwa kuwa tajiri Kwa vikoba vya elf 20 20 Kwa wiki?
Hujui kitu wewe mbumbumbu,pesa za Asilimia 10 za Halmashauri zinakopeshwa vikoba, serikali Kupitia nmb inakopesha wamama Kupitia Vicoba nk nk
 
Lema ana impact gani au nisababu zipi auliwe
Lisu,Azory,kanguye,Alphonce Mawazo na Ben Saanane? Sasa kwa taarifa yako wote walioonekana kuwa na active opposition politics walitakiwa waondoshwe maana Magu kupitia wapambe na wanufaika wa utawala wake walikuwa wamesha anza mchakato wa kutaka Magu aongezewe mda ili eti amalizie miradi mikubwa aliyoianzisha. Hivi unaujua ugomvi wa aliyekuwa PDGTIS( Naibu mkurugenzi wa usalama wa taifa) ndugu Makungu na Bashite mpaka akawa demoted na kupelekwa Tabora kuwa RAS? Endelea kuota kuwa Magu aliwapenda Bashite na Sabaya sababu ya uchapakazi.
 
Akili ndogo haiwezi kuelewa positively ilichoongea akili kubwa. Lema analenga kuwamsha msiridhike na maisha hayo bali mdai Serikali iwajengee mazingira ya kupata maisha bora zaidi.
Hiyo Kenge haiwezi kukuelewa
 
Lema ni chizi kalishwa upupu na wazungu na diaspora ameona aanze na Madesa na vizenga asije sahau, Lema ni mpumbavu he says things without deep rooted analysis for each case, Lema ni fala alopitiliza, he is back with personal attacks and primitive noises.

The vuvuzela type of politicking does hold nothing to do with life relevance.

Why can't he fix his things first, all his stay in Canada he misses a point where seems he didn't invest on reading and reading zaidi ya kukaa kwenye vijiwe na wajinga wenzie.

Onaongea kama ananyanduliwa
 
Je huyu Nabii wenu fake nyie Chadema ni Mzalendo wa kweli?

Mlinda legacy nakushaur usipanic wala usiwe na hasira! Je kabatilisha sheria ya uuzaji madini na kaweka sheria yake? Kama kaifuta sheria ya uuzaji madini na kaweka yake bas anastahili kupelekwa Mahakaman haraka san!!
 
Hujui kitu wewe mbumbumbu,pesa za Asilimia 10 za Halmashauri zinakopeshwa vikoba, serikali Kupitia nmb inakopesha wamama Kupitia Vicoba nk nk

Nenda kwenye halmashauri yako ukapate full details Acha kuongea mambo ya kwenye makaratasi
 
Afungiwe speed gavana kwa sababu amesema mwanao akiendesha bodaboda ni laana😁
 
Haoni sababu au siyo? Dalali wa kutorosha Madini ndio tumuachie? Haipo hiyo
Unaacha kuhangaika na viongozi matajiri wa CCM ambao wanaendelea kujitajirisha kwa kutorosha matrilioni ya pesa zetu na kuzificha nchi za nje huku wakinua mpo vichawa visivyo na akili vitawatetea na kuwalinda.
 
Nyie mnaona ni mambo ya mzaha ndio maana mnakejeli waliyopitia wapambanaji hawa.
Hamna lolote mnaweza kufanya gumu kwa faida ya wengine ndio maana mnaweza tabia kama za yule askari wa Zanzibar.
Shame on you!
Kwa hiyo kuvaa baibui ni swala gumu ambalo ameweza kufanya kwa ajili ya faida yangu? Shen** taip

Tabia zake ni zipi hizo unazotaka jamii izijue? Ambazo hawazijui?

Unajifanya unanijua mweee

Unafikiri kuweka hayo maneno nitaweweseka? Unataka kujaribu hizo tabia?

Nikutaarifu, Himaya zangu zi Thabiti.

Kaa chonjo Kibaraka we.

We endelea na kazi zako za kuchagiza matamshi ya wanaume wenzako.Siku ikiisha urudi nyumbani na vijisenti ambavyo havikusaidii na usongo unaoambatana na kubeba maneno na matamshi ya wengine. Usinifanye nikuvalie njuga......Mfyuuuuuuu

Kama ulitegemea reaction tofauti.....endelea

Shame on you, slave mazasaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…