Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Akili ndogo haiwezi kuelewa positively ilichoongea akili kubwa. Lema analenga kuwamsha msiridhike na maisha hayo bali mdai Serikali iwajengee mazingira ya kupata maisha bora zaidi.
Tusiridhike where is the roadmap, mimi mtu ambaye analaumugi tu bila kutoa solutions huwa namchukia. Show people the way round kuwa msifanye uboda boda instead fanyeni abc mtatoka. Sio unakaa unaleta kejeli za kichoko kama kambishoga halafu huna solutions.

Yeye kaenda kupakatwa Canada 🍁 kama mkimbizi wa kisiasa kaishi maisha mazuri leo hii analeta ujuaji. Alikuwa mbunge miaka yote hio boda boda wapo what did he do to overcome the problem?

Watu wanaendesha boda boda sababu hamna options, graduate anakaa miaka 5 hana kazi matokeo yake anakuwa mzigo nyumbani. Umemaliza shule hadi mdogo wako kamaliza anakukuta kaka huna mishe. Unawaza tu how to get out bila ku earn chochote?

The easy way out ni ku tap buku buku hizo kupitia boda boda. Eventually atakula na kulipa kodi ya chumba. Ila baada ya graduation ungemwambia kuna contract hii hapa ya kuwa mhasibu wa shirika na huku kuna kuendesha boda boda sidhani kama angejiuliza mara mbili kabla ya kusaini mkataba.
 
Ha
Kwanza vinasanabisha wake zetu wagongwegongwe ovyo Ili tu kupata Hela ya rejesho
hahaha nilimpiga marufuku bibie kujihusisha na huo ujinga kama kazi rasmi hana. Wasio na kazi rasmi na wafanya biashara ndio wanatiwa sana kwenye marejesho ya vikoba.
 
Kwa hiyo wasubiri mpaka serikali itakapowapatia maisha bora ndio waanze kutafuta, kwa sasa wakae tu nyumbani?
Anatombwer huyo mcengerema. Anaongea murvy bila kushirikisha ubongo. Maisha yalivyo magumu nani atakulisha umekaa tu?😀
 
Mimi pia sioni faida,yaan pesa zako unaweka halafu unakuja kurudishiwa mwisho wa mwaka..then what? Kwamba umeshindwa kuhifadhi wewe mwenyewe? Kama hyo ndo logic
Hahahahahah hapo ndipo mie pia sielewagi logic ya vikoba. Sema atleast wale wanao engage na mikopo huwa wanaweka some amount ya riba huwa naona wako vizuri.
 
Bodaboda wakiwa ba kazi nzuri mtapata wapi watu wa kudanganya?
 
Unajua kwa kule Canada watoto wanasoma free hulipi hata mia. Wewe ni kutafuta hela ya kula na kodi tu ila watoto mpaka highschool huna mzigo.

Amekaa mda mfupi kule akaona maisha yalivyo mazuri ulaya na huku jinsi ambavyo tunapigwa. Exposure ndio inampelekea kutaka kuongea juu ya umaskini wetu ila mtindo anaoutumia ni wa masimango. Kumsimanga mtu bila solution ni kumfedheesha. Huo uijnga ndio sikubaliani nao.
 
Hakuna mwana Siasa atakae kuletea utajiri.

Juhudi juu ya kazi+Juhudi juu ya kazi+Juhudi juu ya kazi
 
Haha huyu jamaa cjui karukwa na akili😅😅 Nan aliyempa kipaza sauti ,atawatukana walalahoi ,Chadema yenyewe ni vicoba
 
Amewashitua bodaboda wasihadaiwe na CCM. safi sana. Bodaboda ni laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…