Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Nikurekebishe kidogo
Sina chama tuanzie hapa

Bodaboda ni laana nukta..

Umeona Europe au North America kuna bodaboda? Umejiuliza kwa nini?

Ajira ndio tatizo huku kwetu. Watoto wanasoma shule wanaishia kuendesha bodaboda si laana hii!
Read between the lines utaelewa.

Wakubwa wanajilipa millions for doing nothing( anzia hapa… pesa za walipa kodi ni za Maendeleo ya wananchi sio watawala)
Ni laana
 
Amezungumzia vikoba,wachuuzi wadogo.
Amekwepa kuzungumzia machinga ambao pia wanajiajiri.Tatizo la Lema amepata exposure ndogo ameanza kutatua matatizo ya wananchi kwa kutumia hoja na nyenzo za developed countries.
Kulikuwa na Malkia maarufu wakati kabla ya France Revolution anaitwa Maria Antonette.Alisimama kwenye balcony wakati wananchi wa kawaida wakiandamana kuhusu uhaba wa mikate.Maria Antonette akashangaa wanaandamana nini?Akauliza kama kuna uhaba wa mikate si wale keki? Kwenye mapinduzi alikamatwa na kunyongwa na wananchi.
Back to Lema yuko so outdated na hali za wananchi kwa makusudi au kwa kutojua hali halisi.Lema amepata ulimbukeni wa ghafla baada ya kukaa Canada muda mfupi na kusahau hali halisi.Kuna mipango ya muda mfupi ya kujikwamua kiuchumi na kuna kuna mipango ya muda mrefu. Nchi yetu sio tajiri kiasi ambacho ina uwezo wa kuwapa kila raia wake fursa.
Marekani yenyewe kuna watu zaidi ya milioni 30 wako kwenye umaskini na wasiokuwa na bima ya matibabu.
Maendeleo ni process.
 
Hatutasomeshi watoto ili wapate ajira Bali wawe na uwezo wa kujiajiri wenyewe
 
Hatutasomeshi watoto ili wapate ajira Bali wawe na uwezo wa kujiajiri wenyewe
Bodaboda ndio ajira?
Somesha wako umnunulie bodaboda halafu useme ndio ajira…
Wajiajiri watawala wazee mbona hawaachii vyeo wakajiajiri
 
Linapokuja suala la kumpinga Nabii feki Geor Davie ninaacha kwa muda tofauti zangu za kiitikadi na Godbless Lema na kuungana naye. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusapoti kinachofanywa na nabii feki Geor Davie. Yule nabii ana mchango mkubwa sana kwenye umaskini wa watanzania wengi. Mnaosema kwamba Geor Davie ni mtumishi wa Mungu inabidi mpimwe kwanza akili. Ndoa zilizovunjika kisa upotoshaji wa Geor Davie hazina idadi. Wanawake wengi ni wahanga wa utapeli wa huyu nabii feki.

Pia kitendo cha Geor Davie kupanda kwenye jukwaa la siasa la mbunge Gambo linamwingiza moja kwa moja kwenye siasa za Arusha. Angeweza kutoa huo msaada ofisini kwake au hata kufanya tu press conference na sio kwenda kwenye majukwaa ya kisiasa. Kwa msiofahamu ni kwamba hata Gambo mwenyewe ni mbunge ambaye hatakiwi kabisa na wapiga kura wa Arusha. Mwisho wake ni 2025 vinginevyo chama kitapoteza jimbo endapo atasimamishwa kugombea kilazima. Gambo alishawahi tumbuliwa enzi za JK. Hata hayati JPM alitamka hadharani kama kuwa jamaa ni mtu mnafiki na mfitini. Na akamtumbua. Ushirikiano wa GeorDavie na Gambo ni wa hovyo kwa maslahi yao binafsi.

Nakuunga mkono Lema kwenye hii vita dhidi ya nabii feki. Mungu akutangulie maana utaokoa wengi.
 
😃😃
 
Gambo ni sumu ya Wana Arusha kitambo! Hakuna analofanya pale zaidi ya ubishoo na Kwa kuwa ubunge aliyopewa na sio kuchaguliwa ndio linalomvimbisha kichwa mbovu.
Hana Heshima.
Wafanyabiashara Soko la Samunge wasema Lema hawamtaki
 
Kwani LEMA sio feki ? Kila anapoongea lazima aseme yeye ni mchagga jinga kabisa hili jitu
 
Wana ccm wanamjibu kwenye mikutano, wamepata rungu la kumtwanga, wanajipendekeza kwa bodaboda na vicoba
 
Hao watawala mnawaondoaje na wakati wanatumia nguvu ya jeshi kuendelea kubaki madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…