Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Lema ameelekeza kampeni yake nyumba Kwa nyumba Karatu, hii NI ngome kubwa Kwa chadema. Je, atamtembelea Dr. Slaa kimya kimya nyumbani kwake au watapanda wote jukwaani?

Kama anaweza kwenda gerezani kumwona Sabaya kwanini asiende kumwona Dr. Slaa? Je, utakuwa msimamo wa Dr. Slaa kuhusu bodaboda na Vicoba? Ataungana na Lema au watatofautiana kifikra?
Alienda kwa Sabaya?
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
 
Kwamba kwa sababu watoto wake hawaendeshi basi ndio halamisha uharamu?

Akili za wanasiasa wengine bwana.
 
Kwamba kwa sababu watoto wake hawaendeshi basi ndio halamisha uharamu?

Akili za wanasiasa wengine bwana.
hoja hapa bodaboda ni kaz ya laana ndio maana watoto wa kitila mkumbo na madelu huwez kuwakuta kwenye hio kaz tofaout na BOT,TRA NA SEHEMU ZINGINE KAMA HIZO. So kitila hana moral authority kuzungumzia kuwa bodaboda ni kaz nzuri ikiwa watoto wake hawapo huko na akome kabisa.
 
Amesema kazi yake ambayo anayo pia isiyo ya kichama.. fikra ziende kwenu nje ya boksi..
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Halafu kwa threads zenu kama hizi ndio mnategemea mamayenu huko ccm ashinde uchaguz 2025, itakuwa muujiza wa JEO DEVI.
 
Kuna watu watamsema Lema, ila kiukweli nchi yetu imekuwa ni ya kibaguzi na yenye upendeleo mwingi katika suala zima la ajira na pia elimu.

Watoto wa vigogo wa cha cha mapinduzi na serikali yake, huwezi kuwakuta kwenye shule za kata, na pia kwenye kazi za kawaida kama ualimu, bodaboda, unesi, nk. Wao utawakuta BOT, TRA, NHIF, TPA, PPRA, nk. Yaani ni full viyoyozi, huku wakiwa na uwezo wa kawaida kabisa vichwani mwao.

Hili jambo linahuzunisha sana.

Wananchi wasio na Elimu hawawezi kuwa na mawazo yako haya..

ameongea pumba na pumba tu.. angesema pia kama amefanya kazi huko alikotoka.. na ipi au alikaa kupokea pesa bure tu za walipa kodi huko..
 
Back
Top Bottom