Itika Mapatano
Member
- Oct 17, 2019
- 73
- 61
Unaijua CCM au unaisikia?subiri uchaguzi ufike.Halafu kwa threads zenu kama hizi ndio mnategemea mamayenu huko ccm ashinde uchaguz 2025, itakuwa muujiza wa JEO DEVI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua CCM au unaisikia?subiri uchaguzi ufike.Halafu kwa threads zenu kama hizi ndio mnategemea mamayenu huko ccm ashinde uchaguz 2025, itakuwa muujiza wa JEO DEVI.
Mtoa mada mtafute Shekhe Ponda atakuambia ama tafuta historia za siasa za Zanzibar jinsi hilo vazi lilivyowasaidia. Acha gubu Rama Agger.Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Umeshtuka nini,au ulikuwa muuaji wa wakati ule,inakuaje kama ndivyo alivyomtoroka muuaji wake, au unaa na chuki tu🤔Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Vp km ilimsaidia kukwepa maadui zake?Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..
Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.
Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?
Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?
Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Nyie wenye roho mbaya mtavimba mpasuke bureee.Bora mtuluzane🤔Mwenzie Lissu nae kapiga kimya ghafla...
Wiki mbili zimeisha bila mrejesho!
Nimejitahidi kukuelewa, ila nimeshindwa.Wananchi wasio na Elimu hawawezi kuwa na mawazo yako haya..
ameongea pumba na pumba tu.. angesema pia kama amefanya kazi huko alikotoka.. na ipi au alikaa kupokea pesa bure tu za walipa kodi huko..
Wewe na huyo Lema wakowote waoga tu hakuna wa kusimama likiamshwaWho are you? Nchi ya babako hii wewe mpuuzi? Ungekuwa Mungu Sawa lakini wewe ni mpuuzi tu Fulani unayetegemea fadhili za mwanadamu kuishi!
Kwani ni lazima? Jamani tuacheni kumshabukia mpuuzi LEMAHili swali japo bado halijajibiwa na Prof Kitila Mkumbo lakini linafikirisha sana
Watoto wa Viongozi
Mungu wa mbinguni awabariki!
Msikilizeni kwenye hixi video clips na mtaelewa ninachomaanisha!
Wale wa mapovu na mioshi mingi tukutane pia
Maana watu makini huishi kwa tafakuri!View attachment 2537706
Hapana yeye watoto wake wanakula child benefits na housing benefits na shule, matibabu bureKuna watu watauliza kama watoto wa Lema nao wanaendesha boda au lah [emoji1]
Swali langu kwa nn wanaume huko chadema wanavaa baibui?Mleta mada mpuuzi kweli, wapo wengi Chadema wanaovaa baibui.
Sisi hatuongei na mbwa, tunaongea na mwenye mbwa. mbowe aliyewashikia akili kakubali, wewe nani Sasa?Halafu kwa threads zenu kama hizi ndio mnategemea mamayenu huko ccm ashinde uchaguz 2025, itakuwa muujiza wa JEO DEVI.
Umemaliza kila kitu mifano hai tunayo,Wao utawakuta BOT, TRA, NHIF, TPA, PPRA, nk. Yaani ni full viyoyozi, huku wakiwa na uwezo wa kawaida kabisa vichwani mwao.
Kwa hiyo Hakuna shida kabisa wanaume wa chadema kuvaa baibui na Madera?Mtoa mada mtafute Shekhe Ponda atakuambia ama tafuta historia za siasa za Zanzibar jinsi hilo vazi lilivyowasaidia. Acha gubu Rama Agger.
Umesoma na kuelewa nilichoandika na alichosema lema?Umeshtuka nini,au ulikuwa muuaji wa wakati ule,inakuaje kama ndivyo alivyomtoroka muuaji wake, au unaa na chuki tu[emoji848]
Mimi mwenyewe ndio nilitaka kujua.Lema alikuwa anavaa Buibui mara kadhaa halafu anakwenda wapi au anafanya nini?
Taarifa haijajitosheleza hapo
Kujiokoa na kuvaa Madera na baibui mbona hakuna uhusiano? Lissu mbona hajawahi kuvaa? Mbowe mbona hajawahi kuvaa?Haijalishi kama iliweza kuokoa maisha yake tatizo liko wapi!!?? Hoja za kipuuzi kabisa? Hili nalo linaongeza vipi uchumi wa nchi bwana Kisarawe kama akili haijajaa kamasi!!?
Au una stress za kuachwa??