Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Mtoa mada mtafute Shekhe Ponda atakuambia ama tafuta historia za siasa za Zanzibar jinsi hilo vazi lilivyowasaidia. Acha gubu Rama Agger.
 
Umeshtuka nini,au ulikuwa muuaji wa wakati ule,inakuaje kama ndivyo alivyomtoroka muuaji wake, au unaa na chuki tu🤔
 
V
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Vp km ilimsaidia kukwepa maadui zake?

Mkuu,yaani uwezo wako wa kufikiria uliishia tu hapo? Mbona viongozi wengi tu wa serikali ulitumia hili vazi ktk shughuli za kipelelezi?
 
Haijalishi kama iliweza kuokoa maisha yake tatizo liko wapi!!?? Hoja za kipuuzi kabisa? Hili nalo linaongeza vipi uchumi wa nchi bwana Kisarawe kama akili haijajaa kamasi!!?

Au una stress za kuachwa??
 
Who are you? Nchi ya babako hii wewe mpuuzi? Ungekuwa Mungu Sawa lakini wewe ni mpuuzi tu Fulani unayetegemea fadhili za mwanadamu kuishi!
Wewe na huyo Lema wakowote waoga tu hakuna wa kusimama likiamshwa
 
Lema alikuwa anavaa Buibui mara kadhaa halafu anakwenda wapi au anafanya nini?

Taarifa haijajitosheleza hapo
 
Msikilizeni kwenye hixi video clips na mtaelewa ninachomaanisha!

Wale wa mapovu na mioshi mingi tukutane pia
Maana watu makini huishi kwa tafakuri!View attachment 2537706

Hakuna cha kumgharimu huu sio ule utawala dhalimu usiopenda kukosolewa na kuambiwa ukwel!!! Nyie mabaki ya wazalendo uchwara enzi yenu imeisha na hairudi tena!! Mnataman upinzani wateswe na kupotezwa kama enzi yenu lkn haiwezekan, rudini mkaendelee kuchunga ng'ombe!!!
 
Kuna watu watauliza kama watoto wa Lema nao wanaendesha boda au lah [emoji1]
Hapana yeye watoto wake wanakula child benefits na housing benefits na shule, matibabu bure
Anawadanganya ana biashara zake Canada
Mkimbizi huyo kaishafungua na biashara
 
Halafu kwa threads zenu kama hizi ndio mnategemea mamayenu huko ccm ashinde uchaguz 2025, itakuwa muujiza wa JEO DEVI.
Sisi hatuongei na mbwa, tunaongea na mwenye mbwa. mbowe aliyewashikia akili kakubali, wewe nani Sasa?
 
Mtoa mada mtafute Shekhe Ponda atakuambia ama tafuta historia za siasa za Zanzibar jinsi hilo vazi lilivyowasaidia. Acha gubu Rama Agger.
Kwa hiyo Hakuna shida kabisa wanaume wa chadema kuvaa baibui na Madera?
 
Haijalishi kama iliweza kuokoa maisha yake tatizo liko wapi!!?? Hoja za kipuuzi kabisa? Hili nalo linaongeza vipi uchumi wa nchi bwana Kisarawe kama akili haijajaa kamasi!!?

Au una stress za kuachwa??
Kujiokoa na kuvaa Madera na baibui mbona hakuna uhusiano? Lissu mbona hajawahi kuvaa? Mbowe mbona hajawahi kuvaa?

Alafu lema anajiokoa na nn yule?
 
Back
Top Bottom