Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Kwahiyo wauwaji waliyokuwa wakimfuatilia wakashindwa kumtambua baada ya kuwa anavaa mabaibui?
 
Kwa hiyo mnavaa baibui na Madera huko?
6F625E08-838A-455E-A717-E16AF2CF5A1E.jpeg
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Uwendawazimu huthibitisha na fikra za kiwendawazimu wakati wote, kama hivi unavyofanya.

Bahati mbaya una akili na upeo duni sana. Sidhani hata unastahili (kwa sababu ya uwezo duni mno) kuanzisha mada yoyote hapa JF.

Unashindwa kuelewa hata maana ya camouflage, hata huelewi huwa inafanywa kwa lengo gani!

Hivi kwa fikra zako ukiambiwa kuwa askari au mtu alitoroka au alijibanza mahali na ili maadui wake wasimwone aliamua kuvaa majani, unaelewa nini?

Very unfirtunately you are at the base of low minds people.
 
Ni majambazi. Majuzi hiyo hiyo mbowe alisema alitorokea Kenya kupitia njia za panya akaenda Dubai, alipokamatwa ugaidi akalia kuonewa. Hawa watu sasa tunaona in their true colours. Vyombo vya dola vipo, kosa la jinai halifi, kakiri mwenyewe, kifungo ni miaka 3 na kazi ngumu.
 
Haijalishi kama iliweza kuokoa maisha yake tatizo liko wapi!!?? Hoja za kipuuzi kabisa? Hili nalo linaongeza vipi uchumi wa nchi bwana Kisarawe kama akili haijajaa kamasi!!?

Au una stress za kuachwa??
😂😂😂
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Kwani unamwonaje Lema ? Si ni mkubwa kuanzia kwa magoti kwenda juu ? Hivi unajua tabia za watu wenye maumbo makubwa kwenda juu kama lema?
 
Hili swali japo bado halijajibiwa na Prof Kitila Mkumbo lakini linafikirisha sana

Watoto wa Viongozi

Mungu wa mbinguni awabariki!
Kitu ambacho mboga mboga hawataki kusikia...
 
Attachments

  • Screenshot_20230305-114032.png
    Screenshot_20230305-114032.png
    229.3 KB · Views: 2
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.

Kwani yeye amesema alivaa baibui kwa sababu ipi??-- sababu ya yeye kuvaa baibui iwe ndio msingi wa hoja.
 
Kuna jambo limeshtua wengi sana na ningependa kujua upande wa pili wa chama wao wanaonaje kuhusiana na hilo suala. Sote tunajua baibui huvaliwa na kina nani..

Lema amekiri Amewahi Kuvaa Baibui mara kadhaa, hii kwa chadema wanaichukuliaje? Ni kawaida au chama kimeingia doa? Ikumbukwe lema ni kiongozi mkubwa wa chama.

Ningependa kujua viongozi wa chadema wanachukuliaje hili? Wanaona kawaida? Au wamefedheheka? Vipi wafuasi wa chama nao wanaona kawaida au wamefedheheka?

Swali pia ambalo ningependa kujua, Kama alikua akivaa mabaibui na Madera, ni mangapi amefanya akiwa kwenye mavazi hayo?

Ni maswali ya kupenda kujua zaidi, pia Kama tukijulishwa hakuna ubaya wowote basi itakua vizuri.
Ni vzr ungetoa maelezo yote aliyosea kuhusu kuvaa baibui, acha kutengeneza concept yako!!
 
Sisi hatuongei na mbwa, tunaongea na mwenye mbwa. mbowe aliyewashikia akili kakubali, wewe nani Sasa?
wajane wa dikiteta jiandaen kupambana majukwaan maana mme wenu aliyekuwa anawapitisha ameshaoza na msipojiandaa nchi hii itajikuta inavichaa wengi kisa hakuna kubebwa kwenye uchaguz.
 
Uwendawazimu huthibitisha na fikra za kiwendawazimu wakati wote, kama hivi unavyofanya.

Bahati mbaya una akili na upeo duni sana. Sidhani hata unastahili (kwa sababu ya uwezo duni mno) kuanzisha mada yoyote hapa JF.

Unashindwa kuelewa hata maana ya camouflage, hata huelewi huwa inafanywa kwa lengo gani!

Hivi kwa fikra zako ukiambiwa kuwa askari au mtu alitoroka au alijibanza mahali na ili maadui wake wasimwone aliamua kuvaa majani, unaelewa nini?

Very unfirtunately you are at the base of low minds people.
Kwa hiyo Hakuna shida lema kuvaa baibui na Madera?
 
Back
Top Bottom