Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Alikuwa anavaa baibui akienda kukagua migodi yake ya madini
Alivaa kwa sababu nyingine sio hiyo. Hao waomtafuta hawaijui migodi yake? Wangeifunga hata hiyo kwenda na baibui angeitolea wapi?
Huyo aeleze kwa nn anavaa mavazi ya kike
 
Kwani yeye amesema alivaa baibui kwa sababu ipi??-- sababu ya yeye kuvaa baibui iwe ndio msingi wa hoja.
Kuna mtu anavaa nguo fulani bila sababu? Hata wanaovaa suti au Madera huwa na sababu
 
Unajua maana ya camouflage ewe taahira? Tatizo umezidi upumbavu
 
Samia awaruhusu hawa jamaa kuitukana serikali kwa sababu naona sasa wametugeukia wananchi. Kiongozi wao mlimbukeni ameanzisha kamepeni ya dharau na matusi kwa wananchi.
 
Reactions: Tui
Mimi nimeuliza swali tu je sio doa kwa chadema? Kama mnaona wanaume kuvaa baibui na Madera sio shida basi sawa
Wewe unaona doa liko wapi? Alivyovaa baibui uchumi uliporomoka? Mama yako alipata mimba isiyokuwa na baba? Kinyeo chako kiliwasha? Sasa kama alitumia trick kunasuka kwenye adui zake, wewe kinachokuuma ni kuvaa baibui au kunasuka kwenye maharamia? Kenge wewe
 
Amesema kazi yake ambayo anayo pia isiyo ya kichama.. fikra ziende kwenu nje ya boksi..
Mi nilidhani atauliza Kama lema alipata majini..maana tunaambiwa vibaraghashia na mabaibui ukivaa wayapata
 
Mashoga ndio hutoa hizi sababu, utaskia kwani nisipofanywa utafilisika, uchumi utashuka.

Nimeanza kuelewa vizuri hiko chama
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu. bado uko zile karne za kuwaona wanawake ni kama viumbe najisi, visivyotakiwa kuheshimiwa? Wewe bado una zile akili matope za kudhani kumwita mtu ni mwanamke ni tusi?
 
Alivaa kwa sababu nyingine sio hiyo. Hao waomtafuta hawaijui migodi yake? Wangeifunga hata hiyo kwenda na baibui angeitolea wapi?
Huyo aeleze kwa nn anavaa mavazi ya kike
  • Sababu ndio ilikuwa hiyo, alivaa baibui Ili iwe rahisi kufika kwenye mgodi Wake, kama una sababu nyingine hizo Baki nazo
  • Kuvaa baibui mbona pia Mgombea wa ACT pangani alivaa baibui Wakati wa kurudisha Fomu ya Ugombea Ubunge wa Pangani, alivaa baibui Kwa sababu CCM Kwa kushirikiana na Police walikuwa wanapiga Fomu wagon eat wa Vyama vingine wenye nguvu Ili wapite bila kupingwa kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020
 
DC kazulamimba unahangaika sana
 
Ni mbinu tu hizo za kukwepa polisi Tanzania bwashee, acha kukuza mambo we mtoto wa kiume
 
Kwa hiyo na WOWO alikua analitikisa ili WAJUE kabisa yeye ni demu wa kutongoza? Duuuuuuh, lema bwaaanaa
 
Mimi nimeuliza swali tu je sio doa kwa chadema? Kama mnaona wanaume kuvaa baibui na Madera sio shida basi sawa
Nyerere alivaa baibui kutoka ikulu hadi mjimwema kunusuru maisha yake ....sijui kama unalijua hilo
 
Sema wafuasi wa GeorDavie wamejua kumchamba Lema aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…