Paul kibok
New Member
- May 29, 2016
- 2
- 0
Usahii gani hapo hupo wasajili line wangapi Wana nyumba wengine wamepanga waendesha maisha yao wengine wameoa na wamezeekea humo lema ni asiye na logic uko Canada alipokuwa hakuna wasajili line hakuna wapeleka mizigo nyumbani kwa watu ni muongo na mnafiki tu hana chochote anachojuaYuko sahihi, ni vizuri kuwa mkweli kuliko kuwa mwanasiasa mnafiki
territorial captivity release and freedom inamsumbua sana LemaThis idiot called Lema is very stupid, is my goos friend kweli, nimeongea naye juzi, mbona hakuna ulazima wa kuropoka, hata haelewi...
Let Lema be Lema, tofaufi zetu ndo zinatufanya tuishi pamoja, anawadanganya watu mke wake anasimamia Biashara Canada?
Biashara zake, yani Lema miaka hii keshakuwa na biashara zake, siyo yake ya mke wake kusimamia, sasa hii detail sijui inamuhusu nani.
Don't appreciate fucking Life peoples Are suffering bodaboda is not a careerNamuona mjinga kuishi kwake Canada ule ushamba wake umemjaa sana, ame depreciate badala ya kuongezeka thamani, I think he lack knowledge addition from a wider spectrum and he has had multidisciplinary global and glocal malnutrition knowledge wise.
Haya tuseme watanzania wote tumetarajirika, nani atasajili line?Hajawakataza ila ukweli ndio huo, usitegemee usajiri line uje ujikwamue kiuchumi labda kama tunataka vijana wawe na vipato vya ku survive
Unataka ukaombe kazi kwenye makampuni yake?Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.
Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?
Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?
What businessess are you in Sir?
content ako sawa contextually he misses lots really. He has no immediate, medium term and long term solutions, anafanya kabobo tu za kujambia mdomoMpe mwanao bodaboda Kama ni kazi nzuri u can never appreciate suffering of others if ur smart upstairs period , Lema is hating fucking life made by Ccm regime
Huwezi mlipa mtu 4kHaya tuseme watanzania wote tumetarajirika, nani atasajili line?
Ah ah... mnalo mwaka huu na mtafika mmechoka sana 2025.Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.
Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?
Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?
What businessess are you in Sir?
Hahahaaaa unakosea maisha hayana overnight transformation na transition ya kihivo, layout tools firstDon't appreciate fucking Life peoples Are suffering bodaboda is not a career
Lema is smart upstairs Tz mainly Ccm Matanga are brain washedcontent ako sawa contextually he misses lots really. He has no immediate, medium term and long term solutions, anafanya kabobo tu za kujambia mdomo
Hahahaaaa unakosea maisha haya overnight transformation na transition ya kihivo, layout tools first
Ana vitalu vya tanzanite ana chimba madini wengine wataongeza mengineGodbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.
Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?
Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?
What businessess are you in Sir?
sawa ila aje na utatuzi na fursa sio kuwa Lema kaboboz 🤣🤣🤣🤣 hahahaaa bakuita anni ataitika Lema kaboboz 🤣🤣🤣🤣Nimefanya hizo Kazi na najua ukweli wote .
Mdogo wangu aliajiliwa makampuni ya solar akawa anazurula kutwa nzima mwisho wa mwezi anapewa elf 30 nikamwambia acha hio kazi au nikufukuze kwangu aka anza kufuga kuku sasa hivi yupo vizuri ana duka la mtaani mwanga anauona
Lema Ni tapeli mwandamizi Eti anapamban na nabii geo davi Siasa simemshinda SAS anatafuta Kiki kwa kulazimisha aachne na manabii hata hvyo Jimbo Hilo Ni langu mm in 2023Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.
Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?
Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?
What businessess are you in Sir?
Huwezi somesha watoto kwa kusajiri line , ungejua kipato chao ungewahurumiaWatu wanataka kulipa bills familia ziishi na watoto wasome. Thats the only thing. We onesha mtu aache boda boda ili awe nani na familia ile na watoto waende shule?
Haya tuseme sasa, wasajili line wanapokea milion 2 per month,, huoni doctor itabidi sasa apokee milioni 500?,,Huwezi mlipa mtu 4k
Kabakiza kidogo ataje kazi yangu maana kashataja kazi zangu za awali zote naona ni kama ananilenga