Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Yuko sahihi, ni vizuri kuwa mkweli kuliko kuwa mwanasiasa mnafiki
Usahii gani hapo hupo wasajili line wangapi Wana nyumba wengine wamepanga waendesha maisha yao wengine wameoa na wamezeekea humo lema ni asiye na logic uko Canada alipokuwa hakuna wasajili line hakuna wapeleka mizigo nyumbani kwa watu ni muongo na mnafiki tu hana chochote anachojua
 
This idiot called Lema is very stupid, is my goos friend kweli, nimeongea naye juzi, mbona hakuna ulazima wa kuropoka, hata haelewi...

Let Lema be Lema, tofaufi zetu ndo zinatufanya tuishi pamoja, anawadanganya watu mke wake anasimamia Biashara Canada?

Biashara zake, yani Lema miaka hii keshakuwa na biashara zake, siyo yake ya mke wake kusimamia, sasa hii detail sijui inamuhusu nani.
territorial captivity release and freedom inamsumbua sana Lema
 
Namuona mjinga kuishi kwake Canada ule ushamba wake umemjaa sana, ame depreciate badala ya kuongezeka thamani, I think he lack knowledge addition from a wider spectrum and he has had multidisciplinary global and glocal malnutrition knowledge wise.
Don't appreciate fucking Life peoples Are suffering bodaboda is not a career
 
Hajawakataza ila ukweli ndio huo, usitegemee usajiri line uje ujikwamue kiuchumi labda kama tunataka vijana wawe na vipato vya ku survive
Haya tuseme watanzania wote tumetarajirika, nani atasajili line?
 
Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.

Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?

Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?

What businessess are you in Sir?
Unataka ukaombe kazi kwenye makampuni yake?
 
Mpe mwanao bodaboda Kama ni kazi nzuri u can never appreciate suffering of others if ur smart upstairs period , Lema is hating fucking life made by Ccm regime
content ako sawa contextually he misses lots really. He has no immediate, medium term and long term solutions, anafanya kabobo tu za kujambia mdomo
 
Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.

Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?

Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?

What businessess are you in Sir?
Ah ah... mnalo mwaka huu na mtafika mmechoka sana 2025.

Wewe pamoja na ndugai mlidai Mh Lema alikimbia madeni ndio yupo mbona hatuyasikii hayo madeni, nadhan mlaaniwe,

... sasa mara pah karudi nchini na ushaidi kuwa yule dictator JPM the devil alipanga kumuua ndio sababu ya kukimbia.

Wote vinywa wazi mara ooogh anafanya biashara gani?? Nadhan utulie tu
 
content ako sawa contextually he misses lots really. He has no immediate, medium term and long term solutions, anafanya kabobo tu za kujambia mdomo
Lema is smart upstairs Tz mainly Ccm Matanga are brain washed
 
atoe njia mbadala Sasa Kama hataki wawe bodaboda,hata cdm ikipewa dola haitakuwa na ajira ,ajira zinatengenezwa na watu wenyewe ,nchi Ina fursa nyingi tu ,sema watu wamezoea kulialia na kutaka mtelezo mtelezo.

NB.lema anapenda kunukuu biblia ,Sasa amesahau kwamba , Tangu mwanzo Hadi Sasa ulimwengu hutekwa na wenye nguvu!!?? Hakuna mtelezo vijana wawe wabunifu na wapambanaji.
 
Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.

Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?

Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?

What businessess are you in Sir?
Ana vitalu vya tanzanite ana chimba madini wengine wataongeza mengine
 
Ulifanya vizuri sana kumtoa utumwani ndugu yako.
Mdogo wangu aliajiliwa makampuni ya solar akawa anazurula kutwa nzima mwisho wa mwezi anapewa elf 30 nikamwambia acha hio kazi au nikufukuze kwangu aka anza kufuga kuku sasa hivi yupo vizuri ana duka la mtaani mwanga anauona
 
Godbless Lema ni mwanasiasa contraversial na anaependwa sana Jijini Arusha. Kinachompa umaarufu sasa ni kurejea nchini kutoka Canada, ni kama vile bado ana kimuhe muhe cha kutaka kuelezea alichokiona Canada kulinganisha na nyumbani Tanzania.

Ameanza kwa kukosoa kazi za boda boda, vikundi vya Vicoba, na mengine. Swali la kujiuliza ni kwamba, yeye mwenyewe anafanya biashara gani inayomlipa?

Hawa vijana wataenda wapi? Ndio sio sawa ila lazima wapate makazi, chakula na kulea watoto wao vizuri. Je, tuna lolote la kujifunza kutoka kwa Godbless?

What businessess are you in Sir?
Lema Ni tapeli mwandamizi Eti anapamban na nabii geo davi Siasa simemshinda SAS anatafuta Kiki kwa kulazimisha aachne na manabii hata hvyo Jimbo Hilo Ni langu mm in 2023

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanataka kulipa bills familia ziishi na watoto wasome. Thats the only thing. We onesha mtu aache boda boda ili awe nani na familia ile na watoto waende shule?
Huwezi somesha watoto kwa kusajiri line , ungejua kipato chao ungewahurumia
 
Huwezi mlipa mtu 4k
Haya tuseme sasa, wasajili line wanapokea milion 2 per month,, huoni doctor itabidi sasa apokee milioni 500?,,
If so,, huoni fungu la nyanya litakua sh 50,000/=,
Au tuseme sasa msajili line anapokea milioni 2 na doctor milioni 2,,
Huoni watu wata opt ajira ya kusajili line kuliko doctor wa kushughulika na wagonjwa, vidonda etc?.
Am trying to say, kamwe vipato haviwezi kuwa level moja,,
Na kadri kipato kinao gezeka, cost zinaongezeka pia, kuanzia gharama za uzalishaji hadi bei ya bidhaa
 
Na unakuta kuna watu wana ndevu humu wana m support lema😅 wababa kabisa na wana familia😄

Huyu baba hamnazo!

Ila mi nafurahia kwasababu CDM wanaiangusha wenyewe, hakuna kushikana uchawi mbeleni!
 
Back
Top Bottom