Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya


Hii ndo kali kabisa:

*Nani alijua Ndugai angekuwa kama mama wa nyumbani ?
 
Hakuna kitu matanga wanaumia kama kuona nyomi kwenye mikutano na maandamano ya chadema.... Hz ni rasha rasha tu , masika yenyewe yaja
 
Kwe kabisa:
Nani alijua furaha itarudi watu watakuwa wakiishi kwa amani bila hofu za kutekwatekwa hovyo au kumtembelewa vibaka wanaokuja kwa jina la 'task force' kunyanyasa na kupora biashara za watu mchana kweupe?
Nani alijua?
 
Bora kupoteza hirizi kuliko kufiwa na mganga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na wengine ndio kisa cha kutokua na imani na samia. Kumtema kijana mzalendo na mwanamapinduzi sabaya na kumfunguliwa mashitaka feki huku akimuachia gaidi mbowe.

Mapinduzi gani alifanya zaidi ya ujangili, ujambazi na kutesa watu?
 
Sabaya hawezi kuja kupata cheo chochote, mark this post.
Hao unaowazungumzia walikuwa behind bars kwa sababu za kisiasa whilst Sabaya is facing criminal charges, Sabaya ni jambazi na kila mtu mwenye akili timamu(kwa wale wanaomfahamu) analijua hilo.
 
Naona wahusika mnazidi kujitokeza tu, na bado mtawekwa waz muda c mref!! Uzuri ameyaongea waz hata DW akihojiwa akasema kila kitu!!
 

Ni maoni yako na uwezo wako wa kufikiri, akikupinga mtu na kukubeza atakuwa anaakosea maana ajaangalia uwezo wako wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…