Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Naona LEMA ameishiwa hoja za maana sasa japo George Davie nae ni Msanii tu
Lema anaongea maneno sahihi kwenyemazingira hasi

Kama ni mwanasiasa ukitaka upate kura ongea uongo halafu waunge mkono watu wanaoaminiwa na kundi kubwa regardless wanafanya madudu au la
 
L


Kwenda majuu ukiwa mtu mzima ni shida aisee ,huyu Lema tangu arejee toka ugaibuni kaja kivingine kabisa na amemaua kuwaonyesha watanzania kuwa ;
1:Washamba,
2:Maskini
3:Bodoboda ni laana
4:Mke wake hawezi shiriki vikoba
5:Ugali ni chakula cha Maskini
6:Yeye hana shida bali watanzania ndio wenye shida
7: Yeye ni Mchagga
Jibu hoja sio blah blah
 
Akielezea kuhusu Mfumuko wa Bei ya Ugali na Maharage Lema amewataka Watanzania wajitathmini kwa upya

Lema amesema bei zinapanda kila siku halafu unaona akina mama wanaenda kwa Mitume na manabii kuombewa badala ya kuibana CCM

Sipo hapa kutafuta Umaarufu bali kuitetea Haki na kuwaambieni Ukweli' Ili Ukweli' huo uwaweke Huru

Umaskini Siyo Baraka wala Sifa

Wednesday Ubarikiwe!
 
Toa hoja mbadala ya aliyotoa Lema.Acha ku-quote maoni ya watu tu ili muda uende na wewe uonekane ulibisha kwa kutumia kiuno.
Matusi hayakusaidii zaidi ya kukushusha ,waliowapa jina la manyumbu hakika hawakukosea hata kidogo
 
Back
Top Bottom