whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Lema anaongea maneno sahihi kwenyemazingira hasiNaona LEMA ameishiwa hoja za maana sasa japo George Davie nae ni Msanii tu
Jibu hoja sio blah blahL
Kwenda majuu ukiwa mtu mzima ni shida aisee ,huyu Lema tangu arejee toka ugaibuni kaja kivingine kabisa na amemaua kuwaonyesha watanzania kuwa ;
1:Washamba,
2:Maskini
3:Bodoboda ni laana
4:Mke wake hawezi shiriki vikoba
5:Ugali ni chakula cha Maskini
6:Yeye hana shida bali watanzania ndio wenye shida
7: Yeye ni Mchagga
Hoja gani sasa,kama kuna eneo CDM ilifanikiwa ni kuharibu vijana akili(Chadema: Bodaboda achaneni na LowassaJibu hoja sio blah blah
Sasa mbona wewe ndiyo umeharibika akiliHoja gani sasa,kama kuna eneo CDM ilifanikiwa ni kuharibu vijana akili(Chadema: Bodaboda achaneni na Lowassa
Sasa,kurudiarudia hicho kiparagrafu chako kila uzi ndiyo unakuwa umejibu au kutoa mbadala wa maneno ya Lema?Na wewe tafuta safari uende hata Burundi ukajifunze kupiga ngoma.Bogus!Hoja gani sasa,kama kuna eneo CDM ilifanikiwa ni kuharibu vijana akili(Chadema: Bodaboda achaneni na Lowassa
Ngumu kumesa!Lema anawapa watanzania vidonge vichungu vya ukweli
Akielezea kuhusu Mfumuko wa Bei ya Ugali na Maharage Lema amewataka Watanzania wajitathmini kwa upya
Lema amesema bei zinapanda kila siku halafu unaona akina mama wanaenda kwa Mitume na manabii kuombewa badala ya kuibana CCM
Sipo hapa kutafuta Umaarufu bali kuitetea Haki na kuwaambieni Ukweli' Ili Ukweli' huo uwaweke Huru
Umaskini Siyo Baraka wala Sifa
Wednesday Ubarikiwe!
Lema anawapa watanzania vidonge vichungu vya ukweli
Sasa,kurudiarudia hicho kiparagrafu chako kila uzi ndiyo unakuwa umejibu au kutoa mbadala wa maneno ya Lema?Na wewe tafuta safari uende hata Burundi ukajifunze kupiga ngoma.Bogus!
Wamepagawa hawalali.Wanasubiri kwa uchungu Lema atasema kipi waanze kulialia.Lema anawapa watanzania vidonge vichungu vya ukweli
Andaa mkutano umjibu Lema kwa kutoa mbadala wake.Hupumziki umepagawa na Lema.Chadema: Bodaboda achaneni na Lowassa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na Operesheni Pamoja Daima katika mikoa mbalimbali nchini.www.mwananchi.co.tz
Huwa wana asili ya kuuchukia ukweli.Mifano ni mingi.Ukweli mchungu
Sukuma gangHuwa wana asili ya kuuchukia ukweli.Mifano ni mingi.
Angalia ujumbe Mangi ,mtateseka sana kuwa mateka wa mijitu mijinga mijinga kama LemaSiyo kila mtu ni mangi.Acha uzuzu.Jifunze grammar ndiyo uandikie jamii.
Ukweli mchungu
Matusi hayakusaidii zaidi ya kukushusha ,waliowapa jina la manyumbu hakika hawakukosea hata kidogoToa hoja mbadala ya aliyotoa Lema.Acha ku-quote maoni ya watu tu ili muda uende na wewe uonekane ulibisha kwa kutumia kiuno.
Wamepagawa hawalali.Wanasubiri kwa uchungu Lema atasema kipi waanze kulialia.