Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

Akiwa anachagua maneno ya kuongea kama hivi sioni tatizo, lakini laana hapana.
 
Angalia ujumbe Mangi ,mtateseka sana kuwa mateka wa mijitu mijinga mijinga kama Lema
wajingawajinga lema anawakomesha na bado huyo gambo wenu mpaka aikimbie arusha wajinga nyinyi mwanaume kaja, juzjuz mnapiga kelele ooh lema amewatukana bodaboda hivyo atajuta hatapata ubunge pumbavu kabisa, Jana mmeona mkutano aliofanya pale Arusha ni zaid ya ule wa mapokez watu walikuwa wengi wakiwemo bodaboda huku wakitoa ushuhuda kuwa ni kweli kaz ya bodaboda ni kaz ya tabu halafu wajinga mkiwa jf humu mnafikir ccm mnawatu kumbe ujinga mtupu.
 
Wenyewe wanatumia percent ngapi ya muda wao kuibana CCM, na ngapi kumsifia mama na kumponda marehemu !!!!

We have all lost the Plot....

Na tutatoka hapa wananchi watakapotambua wanataka nini na nini ndio nini na sio wanasiasa kuwaambia wanataka / wanahitaji nini (hapo ndipo watakapowawajibisha watawala) na sio kuwapa muda watu wa kulamba asali kwa zamu....
 
Akiwa anachagua maneno ya kuongea kama hivi sioni tatizo, lakini laana hapana.
Anasumbuliwa na tatizo la Elimu ndogo anaweza kuwa na hoja lakini uwasilishaji wake ndio utata
 
Kwa hiyo shida zako zinasababishwa na Gambo ,embu jiulize ?ninkwa jinsi gani maisha yako yamebadilika tangia ulipoamua kujitoa ufahamu na kutekwa na siasa za manyumbu?
 
Umasikini ni laana
 
Kwahiyo Lema anataka watu wasifanye kazi? Mtu kuwa dereva ni laana? Lema kule alipokuwa ana lelewa kila mtu anafanya kazi nzuri? Lema ni mwehu
 
Miaka thelathini ya uwepo wa hizi siasa mmbadala wameshindwa kabisa kunadi sera na badala yake wanatafuta makosa ya kiutendaji ya serikali iliyoka madaraka na kuqnza kupiga makelele.
 
Anasumbuliwa na tatizo la Elimu ndogo anaweza kuwa na hoja lakini uwasilishaji wake ndio utata
wewe unaelimu gan yule dokita wenu fake dictator mliyemzika chato mbona alikuwa anaropoka hovyohovyo mara nitakupa mamayangu, mara nitapiga mashangaz zenu mara mtakufa njaa etc. jinga kabisa na bado lema shikilia hapogapo wametepeta.
 
Kwahiyo Lema anataka watu wasifanye kazi? Mtu kuwa dereva ni laana? Lema kule alipokuwa ana lelewa kila mtu anafanya kazi nzuri? Lema ni mwehu
Anasumbuliwa na tatizo la kuwa na Elimu ndogo na kibaya zaidi ametoka nje ya nchi akiwa na umri mkubwa na amepagawa ndio maana anaongea kama chiriku aisee ,jana kaja na mpya kuwa ugali ni chakula cha maskini
 
wewe unaelimu gan yule dokita wenu fake dictator mliyemzika chato mbona alikuwa anaropoka hovyohovyo mara nitakupa mamayangu, mara nitapiga mashangaz zenu mara mtakufa njaa etc. jinga kabisa na bado lema shikilia hapogapo wametepeta.
Makele yote unayopiga hapa hayasaidi Lema kuwa hana Elimu na dunia ya leo bila Elimu ni tatizo kubwa saana .
 
Miaka thelathini ya uwepo wa hizi siasa mmbadala wameshindwa kabisa kunadi sera na badala yake wanatafuta makosa ya kiutendaji ya serikali iliyoka madaraka na kuqnza kupiga makelele.
Hata siku wanapokuwa wananadi sera,huwa unaelewa kweli?
 
Nanga mkono hoja
Watu hawataki siasa za maendeleo
Leo hii unasema kuwa bodaboda ni kazi ya laana
Halafu huzungumzii bodaboda wafanye kazi gani mbadala
 
TUNAWEZAJE KUIONDOA CCM KWA KUDHIHAKI KAZI ZA WANANCHI?

[emoji117]Ndio Bodaboda ni kazi Kama zilivyo kazi zingine halali.

[emoji117]Pikipiki ni usafiri wa umma Kama yalivyo Magari, Ndege na vyombo vingine vya usafiri Kuna wanaotumia kama chombo binafsi Cha usafiri lakini wasionavyo wanachukua kwa malipo ya route au muda.

[emoji117]Changamoto wanazokutana nazo maafisa Bodaboda haifanyi KAZI YA BODABODA KUWA KAZI YA LAANA.

[emoji117]Hakuna kazi isiyo na changamoto, hata kazi ya siasa inachangamoto ambazo Kuna watu hawatamani wao Wala watoto wao kuingia kwenye siasa.

[emoji117]Kama ni ajali hata mafunzi ujenzi wanapata ajali wakiwa kazini, madereva wa magari ya abiria na binafsi yakiwemo ya wanasiasa yanapata ajali na kusababisha vilema na vifo kwa madereva na abiria.

[emoji117] Hoja ya kwamba hakuna watoto wa vigogo kwenye kazi ya bodaboda Basi hivyo ni kazi ya laana ni mfu sana. Ukienda pale msamvu Kuna wapiga debe, ukienda kule mabondeni Kuna watu wanaopoa mchanga, wapo Machinga na mama lishe kote huko hakuna watoto wa viongozi... Je nazo hizo ni kazi za laana? Kumbuka hao wachimba mchanga, Machinga, mama ntilie nk. Hawapo tu Tanzania, hata nchi nyingine wapo.

[emoji117]Hatuwezi wote tukawa viongozi, hatuwezi wote tukawa wabunge, hatuwezi wote tukawa wafanyabiashara wakubwa, hatuwezi wote tukawa maaskofu.

[emoji117]Ndio maana lazima tutafute njia za kujikwamua kimaisha, na kazi zetu ziheshimiwe.

[emoji117]Wengine hatuwezi kazi za wizi wa Magari na utapeli Wala hatuwezi kutengeneza michongo ya ukimbizi ili tukalelewe na wanaume wenzetu ughaibuni.

[emoji117]Vijana zipendeni kazi zenu, changamoto tuendelee kukabiliana nazo na mahala pa kupaza sauti zetu tupaze, tusikatishwe tamaa na wanaobeza kazi zinazotufanya tulee familia zetu.
Kwanza huyu jamaa amerudi Tanzania Tanzania kwa hisani ya mama Samia baada ya kufutiwa kesi na kulipiwa madeni ndio maana anakosa sera/hoja anaishia kutukana bodaboda na vicoba.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Mwambieni LEMA kazi za laana ni wizi wa Magari na kukimbia Madeni unayodaiwa.
 
Unapowashambulia Bodaboda na Vicoba kuna mambo ya maendeleo unayakwamisha

Ni vema Chadema wakaitumia Vizuri hii ruhusa iliyotolewa na Rais Samia ya vyama vya siasa kufanya mikutano

Mlale Unono!
Ujinga na siasa tumbo au ukabila ni hatari sana, na ndio tatizo lako wewe sio kwamba hujui ukweli unapaswa kuwa upi ula kuamua kuchagua ushenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…