Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wajingawajinga lema anawakomesha na bado huyo gambo wenu mpaka aikimbie arusha wajinga nyinyi mwanaume kaja, juzjuz mnapiga kelele ooh lema amewatukana bodaboda hivyo atajuta hatapata ubunge pumbavu kabisa, Jana mmeona mkutano aliofanya pale Arusha ni zaid ya ule wa mapokez watu walikuwa wengi wakiwemo bodaboda huku wakitoa ushuhuda kuwa ni kweli kaz ya bodaboda ni kaz ya tabu halafu wajinga mkiwa jf humu mnafikir ccm mnawatu kumbe ujinga mtupu.Angalia ujumbe Mangi ,mtateseka sana kuwa mateka wa mijitu mijinga mijinga kama Lema
Anasumbuliwa na tatizo la Elimu ndogo anaweza kuwa na hoja lakini uwasilishaji wake ndio utataAkiwa anachagua maneno ya kuongea kama hivi sioni tatizo, lakini laana hapana.
Kwa hiyo shida zako zinasababishwa na Gambo ,embu jiulize ?ninkwa jinsi gani maisha yako yamebadilika tangia ulipoamua kujitoa ufahamu na kutekwa na siasa za manyumbu?wajingawajinga lema anawakomesha na bado huyo gambo wenu mpaka aikimbie arusha wajinga nyinyi mwanaume kaja, juzjuz mnapiga kelele ooh lema amewatukana bodaboda hivyo atajuta hatapata ubunge pumbavu kabisa, Jana mmeona mkutano aliofanya pale Arusha ni zaid ya ule wa mapokez watu walikuwa wengi wakiwemo bodaboda huku wakitoa ushuhuda kuwa ni kweli kaz ya bodaboda ni kaz ya tabu halafu wajinga mkiwa jf humu mnafikir ccm mnawatu kumbe ujinga mtupu.
Umasikini ni laanaAkielezea kuhusu Mfumuko wa Bei ya Ugali na Maharage Lema amewataka Watanzania wajitathmini kwa upya
Lema amesema bei zinapanda kila siku halafu unaona akina mama wanaenda kwa Mitume na manabii kuombewa badala ya kuibana CCM
Sipo hapa kutafuta Umaarufu bali kuitetea Haki na kuwaambieni Ukweli' Ili Ukweli' huo uwaweke Huru
Umaskini Siyo Baraka wala Sifa
Wednesday Ubarikiwe!
Kwahiyo Lema anataka watu wasifanye kazi? Mtu kuwa dereva ni laana? Lema kule alipokuwa ana lelewa kila mtu anafanya kazi nzuri? Lema ni mwehuAkielezea kuhusu Mfumuko wa Bei ya Ugali na Maharage Lema amewataka Watanzania wajitathmini kwa upya
Lema amesema bei zinapanda kila siku halafu unaona akina mama wanaenda kwa Mitume na manabii kuombewa badala ya kuibana CCM
Sipo hapa kutafuta Umaarufu bali kuitetea Haki na kuwaambieni Ukweli' Ili Ukweli' huo uwaweke Huru
Umaskini Siyo Baraka wala Sifa
Wednesday Ubarikiwe!
Miaka thelathini ya uwepo wa hizi siasa mmbadala wameshindwa kabisa kunadi sera na badala yake wanatafuta makosa ya kiutendaji ya serikali iliyoka madaraka na kuqnza kupiga makelele.Wenyewe wanatumia percent ngapi ya muda wao kuibana CCM, na ngapi kumsifia mama na kumponda marehemu !!!!
We have all lost the Plot....
Na tutatoka hapa wananchi watakapotambua wanataka nini na nini ndio nini na sio wanasiasa kuwaambia wanataka / wanahitaji nini (hapo ndipo watakapowawajibisha watawala) na sio kuwapa muda watu wa kulamba asali kwa zamu....
wewe unaelimu gan yule dokita wenu fake dictator mliyemzika chato mbona alikuwa anaropoka hovyohovyo mara nitakupa mamayangu, mara nitapiga mashangaz zenu mara mtakufa njaa etc. jinga kabisa na bado lema shikilia hapogapo wametepeta.Anasumbuliwa na tatizo la Elimu ndogo anaweza kuwa na hoja lakini uwasilishaji wake ndio utata
Anasumbuliwa na tatizo la kuwa na Elimu ndogo na kibaya zaidi ametoka nje ya nchi akiwa na umri mkubwa na amepagawa ndio maana anaongea kama chiriku aisee ,jana kaja na mpya kuwa ugali ni chakula cha maskiniKwahiyo Lema anataka watu wasifanye kazi? Mtu kuwa dereva ni laana? Lema kule alipokuwa ana lelewa kila mtu anafanya kazi nzuri? Lema ni mwehu
Makele yote unayopiga hapa hayasaidi Lema kuwa hana Elimu na dunia ya leo bila Elimu ni tatizo kubwa saana .wewe unaelimu gan yule dokita wenu fake dictator mliyemzika chato mbona alikuwa anaropoka hovyohovyo mara nitakupa mamayangu, mara nitapiga mashangaz zenu mara mtakufa njaa etc. jinga kabisa na bado lema shikilia hapogapo wametepeta.
Hata siku wanapokuwa wananadi sera,huwa unaelewa kweli?Miaka thelathini ya uwepo wa hizi siasa mmbadala wameshindwa kabisa kunadi sera na badala yake wanatafuta makosa ya kiutendaji ya serikali iliyoka madaraka na kuqnza kupiga makelele.
Majoka ni nani?ni kweli, majoka yenyewe huwa yanatoka yamefura kwa sumu kali
Katika lipi?Duh Lema yupo sahihi
Ndio kuna watu wametokea kuuza ice cream na kuwa mabilioni kushona viatu na kuwa matajari sembuse hiyo ya bodaboda ambayo mtaji wake ni kuazia 1.5mmaisha ni hatua na malengo.kazi yoyote inaweza kukufikisha juu kwenye mafanikio.
Ujinga na siasa tumbo au ukabila ni hatari sana, na ndio tatizo lako wewe sio kwamba hujui ukweli unapaswa kuwa upi ula kuamua kuchagua ushenzi.Unapowashambulia Bodaboda na Vicoba kuna mambo ya maendeleo unayakwamisha
Ni vema Chadema wakaitumia Vizuri hii ruhusa iliyotolewa na Rais Samia ya vyama vya siasa kufanya mikutano
Mlale Unono!
Hivi amemalizaga hata form four kweli?Akili kubwa hujadili hoja,akili ya kati hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu
"Elimu,Elimu,Elimu"