kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Na kuwaibia pesa bank na lema kasema Hela Yao lazima irudiHalafu hizo bodaboda ni zile walizokopeshwa na Gambo
Yaani ajira za waTanzania zinaanza kuitwa laana muda huu!!! Hata kama kweli ajira hizi ni laana, bado kwa mtu anayewapenda waTanzania hawezi kuwatamkia neno la namna hii waziwazi. Wanasaiasa wapinzani wenye hakima kama akina ZZK huwezi ukawakuta wanatamka maneno ya namna hiiiNyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?
Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.
Endeleeni na ujinga wenu
Baada ya kueleza maelezo unaandika kiufupi tu.Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?
Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.
Endeleeni na ujinga wenu
Bodaboda wanauelewa UKWELI,Nyie bodaboda mliokuwa mnajishaua kwenye msafara wa Lema, mmemsikia mtu mliekuwa mnamshobokea?
Bodaboda ni kazi ya laana.Mwenzenu kasharidhika na maisha ya Canada.
Endeleeni na ujinga wenu
Naona washabiki woote wamemwacha solembaSabaya hawezi kuja kupata cheo chochote, mark this post.
Hao unaowazungumzia walikuwa behind bars kwa sababu za kisiasa whilst Sabaya is facing criminal charges, Sabaya ni jambazi na kila mtu mwenye akili timamu(kwa wale wanaomfahamu) analijua hilo.
Nenda Youtube kule uone Milard Ayo, Wasafi media, Mwananchi Com, Jambo tv woote walikuwa live na clips zipo.Hivi kweli katika maelfu waliokuwepo kwenye mapokezi
Hivi kweli threads zote za Lema hazina picha hata moja au kuna mtu anazihujumu hizo picha zikiwekwa humu?
- Hapakuwepo mwanddishi wa habari hata mmoja mwenye camera
- Hapakuwepo hata mwanaJF mmoja mwenye simu ya android
- Hapakuwepo hata raia mmoja mwenye camera au simu
Lakini ukumbi huu haujatendewa haki, anti youtubers walitakiwa kuwa na chao hapa, kuna member alishauri JF iwe na channel yake leo ndiyo naelewa alimaanisha niniNenda Youtube kule uone Milard Ayo, Wasafi media, Mwananchi Com, Jambo tv woote walikuwa live na clips zipo.
Kwakeli huyu mama atabaki kwenye vitabu vya historia kwamba kwanza ni rais wa kwanza mwanamke Tanzania lakini amekuja kuwafundisha wengine namna ya kuongoza nchi nafkiri pia ni maombi ya wananchi kwa mwenyezi Mungu baada ya kupitia kibano miaka 5 ya jiwe mama Samia ni ZAWADI ya Mungu kwetu.Yani Lema anapokelewa kifalme Arusha Sabaya yuko Gerezani?
Maisha yanaenda kasi sana tutende wema jamani maisha yetu ni Mafupi.
Hongera sana Rais Samia kwa kutufundisha kwa Vitendo ubinadamu na upendo.
Maisha yako yatakuwa ya amani sana baada ya kumaliza kipindi chako.
AmeenMungu ni Mkuu...
NakubaliKwakeli huyu mama atabaki kwenye vitabu vya historia kwamba kwanza ni rais wa kwanza mwanamke Tanzania lakini amekuja kuwafundisha wengine namna ya kuongoza nchi nafkiri pia ni maombi ya wananchi kwa mwenyezi Mungu baada ya kupitia kibano miaka 5 ya jiwe mama Samia ni ZAWADI ya Mungu kwetu.
Mimi pia sikujua chadema itarithi nafasi ya TLP na Mbowe kuwa Mrema part two.Nani alijua simba atafungwa 3-0 kwa mkapa?
Nani alijua Samia atakuwa Rais?
Nani alijua Kakobe atakuja funikwa na Mwamposa?
Nani alijua atcl ingekufa tena kifo cha mende?
Kweli dunia duara,nilicheka siku ile Makonda analia lia eti anatishiwa maisha na GSM, Makonda huyu alikuwa anatembea na msafara kama wa Waziri mkuu!!!!!KAMA ndoto vile kumbe ndio ukweli wenyewe mwanahalakati huru kimyaaa Mzee wa mkoa wngu anaishi kama Digi Digi mtaani yanadhalau sana
Usipotoshe Sabaya tuhuma zake ni za jinai siyo za kisiasa,huyo ataozea jela atafungwa sanaMambo hugeuka, na wala usishangilie eti Sabaya yuko gerezani... Tena ogopa sana hao watuhumiwa wa Kisiasa, kuna siku utakuja kuona Sabaya ni Rais au ni waziri mkuu, kila kesho hubadilika na hata usibeze , muangalie Rais wa Zimbabwe, alikaa gerezani miaka kumi akiwekwa na Serikali ya Rodeshia nyakati hizo, hawa kina Lema pia wala usidhani ni watu wema kwa mawazo yako, eti walionewa tu... Big No, usichokijua usikisemee kwa mihemko ya mapenzi ya siasa
Mama ameiponya nchi. Yule zwazwa alituharibia sana nchiYaani utadhani jeshi la polisi sio lile la Miaka 3 iliyopita...ni kama tumeazima polisi kutoka ulaya kumbe ni akina mponjoli mwaburambo hawa hawa ...akina kingai pamoja na ukatiri wao wa kipindi Cha magufuri lkn kwa sasa ni kama sio waoView attachment 2534352
Museveni wa Uganda alisema, kosa la wazungu ni kudhani waafrika kunyamazia vitendo viovu wanavyovifanya wazungu basi eti waafrika wanakubali vitendo hivyo! Lah Asha!! Waafrika hawavikubali kabisa vitendo hivyo, bali wanajenga mazingira ya kuishi kwa kuvumiliana na wazungu hao.*Nani alijua Mungu wa sukuma gang angekuwa anasutwa na kuzodolewa na kila matanzania?
....ni jambazi na kila mtu mwenye akili timamu(kwa wale wanaomfahamu) analijua hilo.